Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

molemo umesahau jembe christowaja mtinda ameifuta ccm juzi singida magharibi! magamba yameokoka mbaya.

Asante sana The Name kunikumbusha.Hawa wabunge wa Chadema wanachapa kazi mpaka raha.Ni majembe kupitiliza
 
Last edited by a moderator:
Wewe unatabia ya Fisi kila ukiona mzoga unakimbilia utakuta nivami ndio yatakubabua mdomo

Fisi ni yule aliyeitisha mkutano haramu walipokuja wazee wa kazi akajificha nyuma ya maspika, unakumbuka?
 
wewe utakua kichwa nazi! yani huoni ccm waliojanjaruka wanavyo kuja chadema hapo? utajikuta umebaki wewe na wasira shangaa hapo.

Kichwa cha nazi ni baba'ko na mama'ko, waulize walikuwa chadomo wao, kama unawajuwa.
 
Wewe unatabia ya Fisi kila ukiona mzoga unakimbilia utakuta nivami ndio yatakubabua mdomo

Nilishaonya tangu mapema sihitaji Lumumba buku 7 kwenye huu uzi.

Nadhani hawajui kusoma na kama wanajua hawaelewi
 
Haikua jambo zuri hata kwa TANU kukosa ofisi wakati wanapigania ukombozi wa Kwanza .

Na haikua jambo zuri kwa CHADEMA kukosa Ofisi kikiwa na Wabunge 5 lakini hadi sasa kina wabunge karibia 50 na ofisi zinaendelea kujengwa lakini zile ofisi kuu mioyoni mwa watanzania zimezidi kuimarika na kupendeza zaidi

Unaweza kuliweka hivyo pia. . . . .ila yaliyo moyoni unayapimaje??!!
Approach yenu ina limited scope sababu hao waliojaza chama moyoni wangeweza kwa umoja wao kujenga jengo zuri na imara kuliko hilo. . . . .

Hongera kwa mtazamo huo wa kujua yaliyo mioyoni mwa watu. . . . .lakini pia mjifunze ku argue bila kuhusisha CCM na chimbuko lake hapa tunaongelea jengo ambalo lingeweza kuwa bira kubwa na imara zaid kama nguvu ya wananchi na mapenzi yao yangekuwa invested hapo!!!!

Huwezi kuwa unaongelea delete CCM na kila hoja yako una refer kwa kitu hichohicho unachodai ni kibaya na hakifai. . . . . .Contradiction
 
LAKINI HAWAJAANDIKA VIZURI HAYO MAANDISHI KWENYE JENGO......NANDHANI WALITUMIA MKONO WA KUSHOTO.....:eyebrows::eyebrows:
 
Darasani alikuwa vizuri, kwenye ulecturer alikuwa vizuri pale UDSM 2009 Akifundisha IM100 Namkumbuka kwa ufundishaji wake wenye weredi HABARI NJEMA ni kuwa SASA mpaka chamani na taifani anafanya vizuri...God bless you madam Ester_matiku

Mungu amzidishie huyu mbunge.Chadema ni mwendo mdundo...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom