theki
JF-Expert Member
- Nov 1, 2013
- 2,721
- 587
Wewe umeona alama ya kuuliza? hiyo ni statement.Unaulizia ukombozi Chadema?
Wewe umeona alama ya kuuliza? hiyo ni statement.Unaulizia ukombozi Chadema?
Jamani hata pesa ya kuandikiwa maandishi hakuna hadi mnaandikia Markpen!! Hapo pia mtasingizia CCM.
Kamanda Molemo ccm wakisikia tunatoa habari kama hizi wana haha sana tuendele kuamsha watanzania kwenye hii kazi ya Mungu
Hapo zimetumika raslimali zilizopo ki halali....hata kama wangeandikia mkaa umetambua kwamba ni CHADEMA. Ingekuwa CCM kuchora ukutani isingekuwa chini ya Millioni tatu. Nyie wote wapigaji kama GURUMO
Umeandika kikakamavu sana ! Hakika wewe ni kamanda wa ukweli hasa .Hakuna jiwe litakalosalia.Tutasambaratisha CCM kuanzia kwenye Familia hadi Taifa.
Count my words!
Kaka hebu nieleze mlengo wako ni upi hasa....kuna thread uko sawa nyingine unanichanganya.........eti.
Hakuna jiwe litakalosalia.Tutasambaratisha CCM kuanzia kwenye Familia hadi Taifa.
Count my words!
mkuu Stand alone Mungu akubariki sana mjomba , unajua leo kutokana na majukumu ya kazi mchana umenipita kushoto , lakini baada ya uzi wako najisikia shibe ile mbaya !
...
.....Nafarijika sana !!!!
![]()
Hakuna jiwe litakalosalia.Tutasambaratisha CCM kuanzia kwenye Familia hadi Taifa.
Count my words!
Nimefarijika Pamoja na wewe Kamanda wangu.
Chalinze penyewe wanapumulia mashine
mkuu Stand alone Mungu akubariki sana mjomba , unajua leo kutokana na majukumu ya kazi mchana umenipita kushoto , lakini baada ya uzi wako najisikia shibe ile mbaya !
Umeandika kikakamavu sana ! Hakika wewe ni kamanda wa ukweli hasa .
.....Huko magogoni waanze kufungasha
Mwenyekiti wa wilaya hiyo ni jamaa yangu anaitwa adero Hahaaa Hongeran mno kwa kwendelelea kuisulubu Ccm watakufa kwa presha hawa sun asee