Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Picha: Esther Matiko Akiiisambaratisha CCM Rorya

Darasani alikuwa vizuri, kwenye ulecturer alikuwa vizuri pale UDSM 2009 Akifundisha IM100 Namkumbuka kwa ufundishaji wake wenye weredi HABARI NJEMA ni kuwa SASA mpaka chamani na taifani anafanya vizuri...God bless you madam Ester_matiku

Amen , Amen .... Mungu awe pamoja nae daima
 
Last edited by a moderator:
Nasikia Gaudensia Kabaka (CCM) waziri wa kazi na vijana naye analinyemelea hilo jimbo, baada ya mbunge wake wa sasa Lameck Airo (STD VII) kutangaza kutogombea tena.
 
nape ameona picha za redbriged mwanza,mbeya na kwingine ameanza kujinyea!! sasa akiona picha hizi za kamanda ester matiku si ataanguka kama mzee wa msituni.

Hahahaha, acha wafe tu kwakweli manake hakuna namna ingine...
 
Hongera kwake. . . . . .ila sasa chama kukosa ofisi nayo sio jambo zuri mbona, hata ya tope???!!!

Haikua jambo zuri hata kwa TANU kukosa ofisi wakati wanapigania ukombozi wa Kwanza .

Na haikua jambo zuri kwa CHADEMA kukosa Ofisi kikiwa na Wabunge 5 lakini hadi sasa kina wabunge karibia 50 na ofisi zinaendelea kujengwa lakini zile ofisi kuu mioyoni mwa watanzania zimezidi kuimarika na kupendeza zaidi
 
Teh teh.... kweli ajiandae manake kimbunga kinakuja siku sio nyingi

yani imebaki miezi mi tano ccm waende magereza kwa kuwatesa na kuwaua watanzania kwa miaka 53 sasa!!magereza itafura magamba
 
Haikua jambo zuri hata kwa TANU kukosa ofisi wakati wanapigania ukombozi wa Kwanza .

Na haikua jambo zuri kwa CHADEMA kukosa Ofisi kikiwa na Wabunge 5 lakini hadi sasa kina wabunge karibia 50 na ofisi zinaendelea kujengwa lakini zile ofisi kuu mioyoni mwa watanzania zimezidi kuimarika na kupendeza zaidi

ni kweli beni ofice za chadema kwa sasa zipo kwenye mioyo ya watanzania,ndo mana hukmo ester matiko anawabatiza kwa kadi za chama sio ofice!!.
 
Hongera kwake. . . . . .ila sasa chama kukosa ofisi nayo sio jambo zuri mbona, hata ya tope???!!!

Ester Matiko ni baashi tu ya mambo makubwa yanayofanywa na wabunge wa chadema!

Mh.Lisu,
Mh. Msigwa,
Mh.Lema Godbless,
Mh.Natser,
Mh.opulukwa,
Mh.Pates,
Mh.Mnyika,
Mh.Sugu,
Mh.Silinde,
Mh.Mdee,
na nisiowataja waliochini ya kiongozi wa chama Taifa ambaye amefundwa siasa za hoja na matendo Mh.Freeman A Mbowe,wanafanya kazi inayotukuka,ni vigumu kuwasahau.
Nikiwa wilayani Ilala,nilishangaa kuona ofisi za ccm zilivyoshindwa kukarabatiwa,richa ya ruzuku kubwa,makusanyo ya pango zao kwenye jengo la Uvccm lakini ni aibu.
Nenda uone pale ofisi za ccm ziluzokaribu na Mahakama ya mwanzo ya Kariakoo,huwezi amini kama kuna Mbunge,Madiwani wa ccm kibao na wenyeviti wa serikali za mitaa wenye mapato kila kukicha.
Kila wanachopata na Mbunge ni tumboni,sasa wameshindwa kukifia chama,sembuse Wananchi?
 
Molemo Lumumba buku 7 wakikaa mbali watakula wapi? Wenzio wanalipwa kwa kuwepo jf na kupost utumbo kwenye kila uzi hivyo usitegemee wakae mbali,,.....

Hongera Ester Matiko

Hongera kwa wote waliojitambua na kuamua kuchagua mabadiliko!

sweetlady

Wataisoma namba mwaka huu.Haturembi tunafanya kazi.
 
Last edited by a moderator:
You should never trust these rural populations, they are like unruly horse, you will never predict your destination
 
voda wapunguze gharama mana humu tumebaki makamanda tu,magamba hayana vifurushi.wanajua kuua na kuteka tu mbwa sana hawa
 
Katika hiyo picha kuna watu wazima 13 na mtoto mdogo mmoja.

Nauliza, wa zamani wepi wapya wepi?
 
Ester Matiko ni baashi tu ya mambo makubwa yanayofanywa na wabunge wa chadema!

Mh.Lisu,
Mh. Msigwa,
Mh.Lema Godbless,
Mh.Natser,
Mh.opulukwa,
Mh.Pates,
Mh.Mnyika,
Mh.Sugu,
Mh.Silinde,
Mh.Mdee,
na nisiowataja waliochini ya kiongozi wa chama Taifa ambaye amefundwa siasa za hoja na matendo Mh.Freeman A Mbowe,wanafanya kazi inayotukuka,ni vigumu kuwasahau.
Nikiwa wilayani Ilala,nilishangaa kuona ofisi za ccm zilivyoshindwa kukarabatiwa,richa ya ruzuku kubwa,makusanyo ya pango zao kwenye jengo la Uvccm lakini ni aibu.
Nenda uone pale ofisi za ccm ziluzokaribu na Mahakama ya mwanzo ya Kariakoo,huwezi amini kama kuna Mbunge,Madiwani wa ccm kibao na wenyeviti wa serikali za mitaa wenye mapato kila kukicha.
Kila wanachopata na Mbunge ni tumboni,sasa wameshindwa kukifia chama,sembuse Wananchi?

molemo umesahau jembe christowaja mtinda ameifuta ccm juzi singida magharibi! magamba yameokoka mbaya.
 
Nasikia Gaudensia Kabaka (CCM) waziri wa kazi na vijana naye analinyemelea hilo jimbo, baada ya mbunge wake wa sasa Lameck Airo (STD VII) kutangaza kutogombea tena.

Gaudensia Kabaka mama yangu weeeeeeee yule mbulula...Aliyeshindwa kusimamia suasa Ero link
 
Katika hiyo picha kuna watu wazima 13 na mtoto mdogo mmoja.

Nauliza, wa zamani wepi wapya wepi?

wewe utakua kichwa nazi! yani huoni ccm waliojanjaruka wanavyo kuja chadema hapo? utajikuta umebaki wewe na wasira shangaa hapo.
 
Back
Top Bottom