😆😆😆Kapigwa nyundo za utosi abaki kwenye utendaji wa kata
Kwa nguvu ipi?Huyu kijana 2020 apewe jimbo hilo akawapoteze chadema bungeni
State agent
Sent using Jamii Forums mobile app
Ccm ina wenyeweRejea kwa wenzake wapuuzi Kama yeye kura za maoni walipojikunyata baada ya kugaragazwa
Msomi wa UDMS! Hicho chuo kipo China au?Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS
Walikuwa wanamsanifu tu na kwenye kura za maoni wamemuonesha kuwa ccm ina wenyewe na wenyewe ni wale wenye rangi ya kijani zaidiAliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko
Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka
Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia
USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko
Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka
Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia
USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]![]()
Ikibidi nitaacha Utumishi wa Umma ili niendelee kuwa huru
Nilishamueleza Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Kakonko juu ya kusudio langu la kuacha kuwa mwanachama wa @ccmtanzania na kuwa mtu huru kwa sasa. Nilimueleza kwa sababu yeye ndiye alinisindikiza kwenda kuonana na Rais Magufuli kutoka Kigoma hadi Dar es Salaam tukipokelewa na...www.jamiiforums.com
Leo amekula matapishi yakeHivi si tuliambiwa mikutano ya siasa ni kwa ajili ya wabunge tu?
Aliishia kuwa mtendaji wa kataJaa tupu huyu, amepewa ngapi na wanaccm? je sgr, ndege na dam zimewasaidia aje wana kokonko? wangapi hapo kokonko wanajua ndani ya ndege? tuache hii ujinga wengine wako nae, enda ukale hela ya ccm dogo
Bado upo kakonko? Andika tena ujinga
Yupo Chato analinda Kaburi.Bado upo kakonko? Andika tena ujinga