PICHA: Elia Michael aizika CHADEMA Kakonko

PICHA: Elia Michael aizika CHADEMA Kakonko

kabla hajahamia ccm huko kakonko hakukuwa na wanaccm wengine? mbona sioni wanaorudisha kadi za CHADEMA aidha naona watu wengi waneshika tama wanekata tamaa!
 
Haka hakana nafasi ya kubadili chochote. Traitors never take over a throne.
 
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa grarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Grarama katani na ujumbe umesambaa kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana kakonko

Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia

USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672

Sent using Jamii Forums mobile app

USSR ndio Elia Michael mwenyewe!

Too low for you dick sucker!
 
Wewe kalia kubweka mitandaoni huku mwenzio maisha yanasonga
Kiukweli kabisa hiyo picha hafananii kuwepo hapo,Hana amani kabisa uso haudanganyi.kwanini yuko hivyo Mimi sijuiii.vijana tusipoteze heshima zetu na utu wetu kirahisi...kwenda ccm kijana unayejielewa kisa viahadi vya kupunguza ufukara wetu ni kuwapa ujumbe wananchi kuwa wakikupa nafasi kubwa zaidi hutawaacha Salama nao...utawasaliti tu

Ebu tuwekee na picha enzi akiwa Chadema tuone utofauti wa muonekano wake.
 
Is chadema throne?

State agent

Sent using Jamii Forums mobile app
Not at all. Nowhere it has been said. You have wrong interpretation.

People like Elia are and will never become assets whether in CCM or in any other parties. They are traducers, born to be that. They are many - in CCM and in opposition.
 
Why your comment come in this time after his move

State agent
Not at all. Nowhere it has been said. You have wrong interpretation.

People like Elia are and will never become assets whether in CCM or in any other parties. They are traducers, born to be that. They are many - in CCM and in opposition.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom