Kigoma: Katibu wa vijana wa Kakonko (CHADEMA), atekwa apigwa na kujeruhiwa vibaya sana. Akimbizwa Hospitalini

Mar 3, 2018
75
799
Tar 22/07/2019 Siku ya Jumatatu majira ya saa tatu kasoro usiku Augustine Anatory Masabo alikamatwa,akaingizwa kwenye Gari lenye namba za Usajili T 433 CSA na kisha kupelekwa asikojua akapigwa na kuumizwa sana na kisha akatelekezwa na hao waliomkamata.

Augustine ambaye ni Katibu wa Vijana Kata ya Kakonko na Mkazi wa Kijiji cha Mbizi amenieleza kuwa alikuwa anatoka Kazini akiwa anaelekea nyumbani akiwa anaendesha baiskeli baadae ikatokea Gari mbele yake huku likiwa kasi na ghafla likaelekea upande wake likashika Brake,akajikuta ameanguka katika harakati za kulikwepa.

Amenieleza walishuka vijana wawili kwenye Gari lile wakamkamata kisha wakamuingiza kwenye Gari hilo na Basikeli yake kisha wakaelekea asikojua huku wakiwa wamemkanyaga.

Walipofika sehemu ambayo yeye hakuitambua,walimshusha na kisha wakaanza kumpiga maeneo magoti kwa Kutumia Marungu huku wakiwa wanamtaka atoe nyaraka za CHADEMA pamoja na kadi yake lakini akawaeleza kuwa hawapi wakitaka wamuue.

Baada ya kumpiga sana na kumuumiza sana,waliamua kumpandisha Gari na kisha kwenda kumtupa Kijiji cha Mbizi jirani kidogo na Nyumbani kwao majira ya saa 5 usiku.

Amewataja kuwa ni SUKI pamoja na KARIM (hawa wote ni watumishi wa Wilaya ya Kakonko) na hakufanikiwa kumtambua Dereva kwani hakutoka nje ya Gari.

Gari namba T443 CSA linatumiwa na DSO KAKONKO ( naliona sana kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya maana DSO yupo jengo moja na DC KAKONKO).

Tukio hili limesharipotiwa Kituo cha Polisi Kakonko na Augustine ameshachukuliwa maelezo na Askari anaejulikana kwa Jina la MAKORONGO aliyepo ofisi ya Upelelezi Kakonko na Sasa amepelekwa Runzewe Mkoa wa Geita kwa Matibabu zaidi.

Aidha mnamo Tar 18/07/2019 siku ya Alhamisi Watu waliovalia nguo za Jeshi la Wananchi (JWTZ) walivamia nyumbani kwa Katibu Kata wa CHADEMA Gwarama na kisha kuchukua nyaraka za CHAMA na Mihuri. Hata hivyo walikuta mama na watoto tu kwani Katibu ( JOEL DANIEL KANYAMIGANDA) hakuwepo kwani alikuwa anatekeleza majukumu ya CHAMA Wilayani.Tukio hili pia limesharipotiwa Polisi na lipo hatua ya Upelelezi.

Taarifa kutoka kwenye chanzo changu zinaonyesha watu hao pia walipanga kwenda kumvamia Afsa habari wa CHADEMA Wilaya ya Kakonko Bwana EDSON SEHERE MBOKO lakini waliomba wafikie Kituo kidogo cha jeshi kilichopo Kabare na hawakupewa ushirikiano na Maaskari wa pale kwani Kituo hicho kipo kwenye makazi, watu hao waliamua kutoka Kata ya Gwarama lakini bado wamo ndani ya Wilaya ya Kakonko wakiwa wametoka Kigoma Mjini.

Karibia mwezi sasa umepita nikiwa nimepokea taarifa kutoka kwa Raia wema kwamba zipo njama za Kutuua Mimi pamoja na Mwenyekiti wa Kakonko Bwana Fanuel Nzenda.
Tayari tulishatoa taarifa Polisi Kakonko juu ya Kinachoendelea.

Sisi tunaamini mambo yafuatayo;

1.Mlinzi wetu Mkuu ni Mungu, bado yupo na sisi hatatuacha kamwe (hatutakufa tutaishi)

2. Polisi Kakonko inafanyia kazi taarifa tunazotoa mbali na mapungufu waliyonayo.

2. DSO Kakonko nae atafanyia kazi tukio lililotekelezwa na vijana wake kwa Kutumia usafiri anaoutumia yeye.

3. Tunaamini haya ni mashambulizi ya Kisiasa na lazima tukabiliane nayo.

4. Ukiwaza kuua fikiri kuhusu kuuliwa pia.

Elia F Michael.
Diwani Gwarama.
Mwenyekiti wa Madiwani Kanda Magharibi.
Mbunge nje ya Bunge.
 
Hili jambo lifike mwisho sasa ,hao jamaa wako kwa ajili ya usalama wa Tanzania na wananchi wake sio kuwateka na kuwapiga risasi Watanzania ambao sio threat kwa national security

Ifike mahali sasa kila mtu aseme basi..Mbowe si anawafuasi ? Anasubiri mpaka wote wamalizwe ?

Kwanini msiitishe maandamano nchi nzima kupinga hili ? Kazi ya kuwa mpinzani ni ipi ?
Haina maana namdharau Mbowe najua ameshalipa price kubwa sana lakini yeye ni kiongozi wa upinzani taifa afanye jambo sasa

Jeshi la polisi limeshachafuka na sasa mmeamua kabisa kuwatumia Jeshi la wananchi wa Tanzania ?
 
Sijui kwa nini unakuwaga mzushi mzushi na unafikiri utapata kura za wana kakonko kwa upuuzi wako kama huu

Halafu wanaitwa wasiojulikana.....haaahahaha laanaturah.....walaaniwe hao watekaji, mama zao, baba zao wafe kwa stroke na vidonda vya sukari, walaniwe na watoto zao, na wote wanaowatuma kuua wenzao nao walaaniwe baba zao, mama zao wafe kwa kuoza matumbo na miguu, na uzao wao woote, walaniwe poa ma DSO, RSO na MaDC woote wenye roho mbaya na uazao wao woote. Mungu wa Ibrahim na Isaya na Yakobo akawatendee sawa sawa na matendo yao. Laanaturah mnaojulikanaaaaa.
 
Sijui kwa nini unakuwaga mzushi mzushi na unafikiri utapata kura za wana kakonko kwa upuuzi wako kama huu
We kweli hovyp, kwahiyo hiyo namba ya gari haipo, wakati umeelezwa na mtumiaji na mahali inapopaki?? Na vijama wametajwa kwa majina yao na ofsi walikotoka. Hivi nyinyi mna akili gani?? ama kwa kuwa mnadhani mko salama.

Ngoja nikupe mfano, waliokuwa woote wana usalama au vyombo vingine wakatumika kudhalili na kutesa binadamu wenzao kawaangalie sasa wanaishi vipi, wengi wana stroke, Vidonda ndugu vya kuoza, kansa za mateso ya miili yao, Ulemavu wowote wa kudumu, kupalalaizi viungo.......fatili utaona. Karma ni nomaaaaa.
 
Back
Top Bottom