PICHA: Elia Michael aizika CHADEMA Kakonko

PICHA: Elia Michael aizika CHADEMA Kakonko

That comment describe as traitor and coward

Sent using Jamii Forums mobile app

Traitor na coward ni wewe mlamba matako ya wenye madaraka ili uweze kuishi

Wagumu ni sisi tunaokula jasho letu na tusiojipendekeza kwa bwana wenu mawe!

Huwezi ishi bila kujipendekeza kwa mawe!

State Agent,nani anaefanya kazi serikalini ni mtu wa maana?All are stupid motherfvckers you included!
 
Usituchekeshe, hiyo ndiyo afya aliyotoka nayo Chadema, unakuwa diwani/Mbunge lakini unalazimishwa posho iingie mfukoni mwa mfalme lazima ukonde kwa mawazo.

Mpe mwaka mmoja aambukizwe vitambi vya CCM.
View attachment 1300794
Hahaha naye kakusanya watu wazima huko au walisombwa kwa magari kuja kumuona Dk.Bashiru ?!
 
Uliambiwa na nani ?

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu USSR umeniuliza swali la kiufundi sana anyway, nafikiri tumesikia mara kadhaa mheshimiwa Rais Dr. JPM akituambia mara kadhaa, lakini Mh.

WMN ya nchi amekuwa akirejea mara kadhaa watu wasio wabunge na kwa mtazamo wangu viongozi waangamizi wa hivi vyama, waachane na mikutano ya wazi waijenge nchi.

Na kwa msisitizo wa ilo tumeshuhudia wale wakaidi wakizuiliwa mara kwa mara kufanya vikao tajwa na wengine kufunguliwa mashauri kwa kukiuka maagizo halali ya mamlaka.

Nafikiri nimejibu swali lako kuu mkuu, ingawa inawezekana nisiwe sahihi ruksa kunisahihisha au uwenda zuio lile limeshandolewa sifahamu sana.
 
USSR,
Kwani Mikutano ya Kisiasa inaruhusiwa kwa wasio wabunge au madiwani wa eneo husika?
 
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko


Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia



USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672

Sent using Jamii Forums mobile app
Ataikumbuka sana siku hiyo, jee walijaa kwa kumpenda au kumshangaa kwa kuikimbia Chadema chama kubwa?
 
Ataikumbuka sana siku hiyo, jee walijaa kwa kumpenda au kumshangaa kwa kuikimbia Chadema chama kubwa?
Hao waliojaa walikua ni wananchi, waliopiga kura za maoni ni wajumbe wachache, ambao walikua tayari na watu wao.
 
Aliyekuwa kijana mtiifu na mtumikia wasiokuwa na shukrani Diwani wa Gwarama msomi wa UDMS baada ya kuachana chadema Leo amekuja kukiuwa na kukizika jumla hapa Gwarama katani na ujumbe umesambaa Kakonko nzima sasa wananchi wanaondoa vibendela vyote na chadema ndio mwisho wake wilayana Kakonko


Wanainchi wameeita zawadi ya sijui za mwisho wa mwaka

Onyo: ukifika Kakonko usipanue vidole juu huku sasa ni ccm na maendeleo sio muda wa kudai demokrasia



USSRView attachment 1300666View attachment 1300667View attachment 1300669View attachment 1300670View attachment 1300671View attachment 1300672

Sent using Jamii Forums mobile app
UDMS inaonekana chuo kikuu hujawahi kukiona.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom