Picha: Dkt. Ghalib Bilal akitunuku Shahada NMIST, awataka wahitimu kuwa chachu ya mabadiliko

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,168
Makamu wa Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awamu ya 4 Dkt. Gharib Mohamed Bilal katika maafali ya 7 ya kutunuku shahada za Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela amewataka wahitimu hao kuwa chachu ya mabadiliko katika kukuza uchumi wa nchi.

IMG_20210813_134332.jpg



Chanzo: DarMpya Twitter
 
Back
Top Bottom