PICHA: Dkt. Bashiru Ally Kakurwa akiwasili kwenye mkutano Mkuu wa CCM unaendelea huko Dodoma

Kwa kukusaidia maana unakosa uelekeo.
Mkutano Mkuu wa kumchagua Mgombea wa nafasi ya Urais 2020 pamoja na Halmashauri Kuu ya CCM 2020 kwa ajili ya kumchagua mgombea wa Urais Zanzibar Ndg. Kinana alikuwepo.
Hahaha hapo alikuwa hajarekodiwa na kupigwa adhabu
 
Adi nimemuonea huruma maskini
Amekaa kama yatima,yani kinana hana hata habari nae,amekosa mtu wa kuongea nae amebaki mwenyewe mwanzo mwisho
Pale ni kama haamini kinachoendelea
Anatamani wamalize aondoke tu
Maisha yanastaabisha sana
 
Bashiru anaingia kama nani kwenye huo mkutano?
Mkuu kama hujui katiba ya CCM na afadhali unyamaze tu, badala ya kukimbilia hapa kuuliza kama ni mwana CCM kweli unatakiwa ujue hao wajumbe wanaoingia kwenye mkutano ni wa aina gani, kama sio mwananchama na nina uhakika na hilo kwani usinguliza ujinga wako basi hayakuhusu haya mambo ya CCM.
 
duh mwendakazi aliacha ka-intoxicate vichwa vyenu. Foolish
 
Adi nimemuonea huruma maskini
Amekaa kama yatima,yani kinana hana hata habari nae,amekosa mtu wa kuongea nae amebaki mwenyewe mwanzo mwisho
Pale ni kama haamini kinachoendelea
Anatamani wamalize aondoke tu
Maisha yanastaabisha sana
Unanionea Huruma??? Kweli wewe ni hovyo kabisa, unaweza jilinganisha na Dr. Bashiru? Jionee huruma mwenyewe cz bado huna achievement yoyote
 
Unanionea Huruma??? Kweli wewe ni hovyo kabisa, unaweza jilinganisha na Dr. Bashiru? Jionee huruma

mwenyewe cz

Unanionea Huruma??? Kweli wewe ni hovyo kabisa, unaweza jilinganisha na Dr. Bashiru? Jionee huruma mwenyewe cz bado huna

Unanionea Huruma??? Kweli wewe ni hovyo kabisa, unaweza jilinganisha na Dr. Bashiru? Jionee huruma mwenyewe cz bado huna achievement yoyote
Umenifanya nicheke sana
You just made my day aisee
 
Wakati wa Shujaa wa Africa hakuonekana kwenye mikutano kama hii
Ni wakati huo mzee Mangula alipewa sumu ili malengo yatimie. Shujaa aliamini kwenye uchawi na ulozi huku akipiga hoja kwa virungu badala ya hoja
Asante mungu limekufa lile dubwasha
 
Ni wakati huo mzee Mangula alipewa sumu ili malengo yatimie. Shujaa aliamini kwenye uchawi na ulozi huku akipiga hoja kwa virungu badala ya hoja
Asante mungu limekufa lile dubwasha
Endelea kunoa miguu mpaka yesu atakaporudi
 
Hivi huyu Bashiru anaeonekana kana kwamba anahitaji Sana cheo ni Kwasababu gani.

Je ni lini aligombea ukatibu mkuu wa chama zaidi ya kuteuliwa kwa vigezo anavyovijua mteuaji.

Sijawahi kusikia popote kaomba au kagombea cheo chochote kwenye chama.
Sasa waliomteua wasipomteua yeye anapata shida gani na ikiwa hajawahi kugombea?

Mpaka kuna baadhi wanasema anauchu wa madaraka kana kwamba aliwahi kugombea popote madaraka yoyote.
 
Mrundi kafukuzwa na ccm asili,aende chato akakae na mrundi mwenzakeView attachment 1768725
Hivi neno mrundi una litumia kama tusi, kejeri au dhihaka? Au ni ubaguzi na chuki? Maana kama ni moja ya hayo sina uhakika kama watu wa taifa la Burundi ambao wanaiheshimu Tanzania na watu wake watakuona wewe ni bora kuliko wao!
Kueeni mstaarabu na kuthamini mataifa mengine na watu wake. Tumia matusi mengine kuwatusi hao ambao huwapendi!
 
Back
Top Bottom