PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

NAOMBA KUULIZA HIVI MWAMPAMBA NA SHONZA mbona hawakuwepo Morogoro kutumbuiza?au kimetokea nini?
 
A Picture Speaks a Thousand Words...

Utakavyo penda kuilezea ndivyo hivyo lakini ukweli unabakia ni ule ule.

Kama hujaielewa hiyo Picha uliyoleta basi utakuwa ni Kilaza Nambari Moja Duniani Mpaka Akhera
 
kuwa CCM ni lazima uwe mjinga kwanza ....sijui nini kilimtuma kiana kingia kwenyen kundi kama hli!
 

unadanganyika na mikutano ya kipindi cha kampeni????
 
kuitetea CCM kwa sasa lazima uwe na roho nguvu ya mwenda wazimu.
 

Mkuu kwa maneno haya are you serious au unatania tu ?Maana if is true am then in a shocking state please clarify .
 
Hadhira hii inatuambia nini? Katika mikutano ya ccm hakuna hadhira ya kiume zaidi ya waandishi wa habari, walinzi na viongozi husika, hali kadhalika picha inaonyesha mikutano ya chadema kuna kina mama wachache , hakuna watoto na hadhira kwa kiasi Fulani ni mchanganyiko lakini imejawa kwa kiasi kikubwa na wanaume! He hili linatuambia nini?
 

Kwenye somo la kiswahili ulipata ngapi mkuu?
1,Mauzui--maudhui
2.kadharika-- kadhalika
 
hapo vipi?


Wana- Magwanda (CDM) noooma....nyomi ile mbaya....peeeeepoooos poweeeeeeeer! big mind...!

Hapa inaonyesha wazi magamba imebaki kama 'TOTO-PARTY'...! chekechea na primary, na yaelekea watoto wote eneo hili wameamriwa na waalimu toka mashuleni mwao waende kwenye mikutano badala ya kusoma!!....ndio maana akina 'Com on Fuc***u, na 'wenye Mbwa wezi' hawaachi kujiandaa kwenda kuwaomba ushari 'Usalama wa genge-CCM' ili wapange namna ya kuwang'oa baadhi wa wapambanaji meno na kucha, na kuwatoboa macho! pasipo kujua kuwa hili ni wimbi, halina wa kuzuia nguvu hii...akili na mioyo ya Wapambanaji inabaki imara kuliko chuma cha pua...! peeeeeeeeeepooooooos..........poweer!
 
tutajua tuu..hiyo idadi ya watazamaji sijui waskilizaji na idadi ya kura...!!!usishangae kuona duka lako linajaa wataje wanaofanya window shopping!!??MATAZAMO
 
Kwenye somo la kiswahili ulipata ngapi mkuu?
1,Mauzui--maudhui
2.kadharika-- kadhalika

Aksante kwa kunikundisha! nilisomea chini ya mwembe! lengo ni kujadili maudhui sio kukosoa Lugha! aksante kwa kunisahihisha
 
Mkuu nimecheka sana. Nimekumbuka kuna Mbunge mmoja wa CCM alisimama Bungeni akiitetea TISS na kusema "Mheshimiwa supika,usalama wa Taifa wanafanya kazi yao vizuri sana ndio maana hata Rais wa China kaja hapa,hawa wapinzani wanazani kama hakuna usalama Rais kama wa China anaweza kuja? ....."
nilimwangalia yule Mbunge na kujijutia kuwa na Mbunge kama huyo ndani ya Bunge.
 
unadanganyika na mikutano ya kipindi cha kampeni????

Umeona eeh! Inashangaza balaa yaani watu nyomi kama kipindi cha kampeni. Hata hivyo inaonyesha huijui Mwanza na kama unaijua Mza basi hujui mandhari ya VIWANJA VYA MBUGANI. Hizi picha za jana jamaa yangu.
 
Mkuu KIBANGA nimependa uhalisia wa thread yako. Wapiga propaganda wote wamefyata. M4C ndo habari ya Taifa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…