Straddler
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 722
- 193
Siasa za TZ kweli kituko yaani badala ya wanasiasa na wananchi kujadili hoja za maana na kuziwekea mikakati na kusimamia utekelezaji wake, tunajadili Bi Fatuma Kimario kavuliwa Hijab, CDM wametaka kumteka Mbunge wa ccm, Rage na mguu wa kuku kiunoni, sisi tutaleta chopa mbili wao moja na chopa ya cuf kubwa kuliko zote nk. Kwa ubwege huu RA ataendelea kutupiga hadi hadi tutie akili leo kesha hakikishiwa mkwanja wake wa DOWANS. Sisi badala ya kukubaliana tusilipe au tufanyeje kuepuka dhahama hiyo ya 94bl tunajadili chopa ya cuf kubwa kuliko za ccm na cdm. kwa vichwa hivi vya panzi sijui kama tutafika
Asante...
..... Tumebaki kujivunia chopa za Kenya.