Picha chafu, au uvaaji mchafu?

Picha chafu, au uvaaji mchafu?

Tee Bag

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
7,220
Reaction score
5,627
Sheria inasemaje
 

Attachments

  • 1428240492788.jpg
    1428240492788.jpg
    27.7 KB · Views: 4,558
Siku hizi hata hapa dsm wapo wa namna hiyo, nenda mlimani city utawaona hasa weekend na holiday, pambafu zao.
 
Shelia za tz hazizingatiwi hizo ila Shelia yakupiga wapinzani inatekelezwa piga tu.
 
Haya ni makosa yenu wanaume; mwanamke anayechapwa bakora mpaka alie nyau havai hivyo hata siku moja. Hizo ni frustration za kukosa dushee la ukweli

Sio kweli mkuu bali kwa asilimia kubwa ni kushuka kwa maadili tu, alafu akijiachia kwasababu ya dushe si anajiletea matatizo mwenyewe!?...lkn hata hivyo sisi waislamu huwa tunawasaidia sana hawa kwa kuoa mke zaidi ya mmoja, maana wako wengi hawa kuzidi wanaume, huo ndo ukweli.
 
mbona mkeo au dem wako akiwwa huvyo chumbani hupagawi
...... ni ufikiri nbaya wa wanaume... acha watu wavae hata uchi watembee tu..
.
 
Shelia katika context ya hapa ni sawa na sheria
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom