kamdinyo
JF-Expert Member
- Jun 22, 2026
- 267
- 739
Nimepita zangu shopping mall kununua simu mpya, nimelipia safi sasa wakati tunaandikishana risiti na mambo mengine..
Mara akafika hapo jimama nene la kizungu na vijana wawili wadogo mmoja kavaa kimasai na mwingine kawaida, kimuonekano masai alikuwa smart ila huyu mwingine ana rasta chafu, nguo chafu chafu mbaya zaidi ameigeuza kwahiyo lile nongo la uchafu linalobaki kwenye tisheti linaonekana waziwazi , mkononi kashika funguo za gari.
Mwanzoni nikajua ni vijana wake (houseboys), mara yule mama alikuwa anazi google simu kusoma specification ndio nikafanikiwa kuona picha wallpaper , picha ilikuwa ya jimama la kizungu akiwa na yule kijana " mchafu mchafu wanakula denda".
Kwa umbeya wangu nikajisemea " hee ili jamaaa kumbe ndio linampelekea nyama nzima nzima hili mama la kizungu😅😅🙌🙌.
Majamaa wakadaka pixel zao hao wakaondoka na mzungu wao.
Kumbe mjini hapa vijana wanakula mseleleko sio poa kmmke.
Sasa sijui jamaa kwanini mchafu vile? Au masharti ya mganga? Na jimama la kizungu halioni jamaa mchafu? Angekuwa smart kidogo ,
Ni hayo tu maumbeya yasionihusu ndio nimekutana nayo leo ndugu zangu.