asante da regia, nawaombeni pia mtengeneze blog ambayo mtaitangaza kwa watu..kisha muwe mna post videos/clips za maandamano ili watu waweze kudownload na kuangalia kwenye kumbi/majumbani...nawaombeni sana watu wana miss sana hata clips za campain..ikiwezekana baada ya operation hii zitoke videos mitaani,hii ni kwasababu baadhi ya vitou vya tv haviripoti vizuri habari za maandamano..hivyo kuwakosesha watu ile ladha na hamasa..........lifikishe hilo panapohusika dada regia mtema mbunge wetu...:hand:
Kuna wakati Mwiba maneno yako yanaleta raha na hamasa safi. Tutafika tuu tulikokusudiaViongozi wa Chadema mnapopitapita huko mitaani ,nabaada ya kila mwisho wa maandamano nahisi bora kuwaamsha wazalendo kuwa hili ni zoezi tu,na wajitayarishe katika mwito wa mechi yenyewe ,mechi ambayo pengine wengine hawatorudi salama,kwani timu tunayocheza nayo ni rafu tupu,hivyo kuna watakaorudi wakiwa wamevunjika miguu na mikono na hata wengine wasirudi kabisa watakuwa wamepoteza maisha,pindipo ikiitishwa wawe tayaritayari na hakuna kusitasita,mwito unaoashiria kuiondoa CCM madarakani,mwito ambao unatakiwa kiuitikwa katika mikoa yote kwa pamoja kwani miaka hii zaidi ya arobaini kwa CCM imetosha.
Na katika madai ambayo ninataka yaongezwe katika hoja za kuiondoa CCM madarakani ni kuundwa kwa tume mpya,kuondolewa kwa msajili wa vyama na badala yake iwepo kamati huru ya usajili wa vyama vya siasa inayowakilisha wazalendo wanaoheshimika ,na bila ya kuisahau katiba mpya itakayowakilishwa na wadau wa vyama vyote vya upinzami na wazelndo kutoa michango yao katika kuijadili katiba hiyo mpya.
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
Viongozi wa Chadema mnapopitapita huko mitaani ,nabaada ya kila mwisho wa maandamano nahisi bora kuwaamsha wazalendo kuwa hili ni zoezi tu,na wajitayarishe katika mwito wa mechi yenyewe ,mechi ambayo pengine wengine hawatorudi salama,kwani timu tunayocheza nayo ni rafu tupu,hivyo kuna watakaorudi wakiwa wamevunjika miguu na mikono na hata wengine wasirudi kabisa watakuwa wamepoteza maisha,pindipo ikiitishwa wawe tayaritayari na hakuna kusitasita,mwito unaoashiria kuiondoa CCM madarakani,mwito ambao unatakiwa kiuitikwa katika mikoa yote kwa pamoja kwani miaka hii zaidi ya arobaini kwa CCM imetosha.
Na katika madai ambayo ninataka yaongezwe katika hoja za kuiondoa CCM madarakani ni kuundwa kwa tume mpya,kuondolewa kwa msajili wa vyama na badala yake iwepo kamati huru ya usajili wa vyama vya siasa inayowakilisha wazalendo wanaoheshimika ,na bila ya kuisahau katiba mpya itakayowakilishwa na wadau wa vyama vyote vya upinzami na wazelndo kutoa michango yao katika kuijadili katiba hiyo mpya.
Nimeongea na jamaa zangu wa Ibinzamata ananiambia kila kitu kimesimama! CHADEMA oyeeeeeeeeeeeeeeee
revelution is a process, in order to suceed in this first u have build a foundation by wining people's trust, that is what chadema is doing, we believe liberation is coming soon!hence those swain called themeself fathers of the nation!the time is up!we are total fed up with these stupidity!
WanaJF.
CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.
Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke
Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga
Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira
tunataka matokeo ya maandamano
Peoples power! Mvua ya kuipeleka kwenye mfanikio imeanzia egypty. Pls tusiiache ikatupita bure tutajuta baadae. Viva cdm, viva wa tanzania, aluta contnuer mapambano mbele daima. Kurudi nyuma mwiko!