[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

Hapo Shinyanga CCM walikwiba kiti cha ubunge.
Matokeo yalitangazwa kupitia redioni halafu jamaa akakimbia, sijui kama alisharudi.
 
Chadema inatisha.... Hawa jamaa waliiba kura zetu Shinyanga mjini. Halafu nasika mbunge kwa njia ya kuchakachua wa jimbo la shy mjini naye yupo mjini kujionea vile hatukumpa kura zetu. Kwa habari za uhakika jamaa anajuta kwa nini aligombea maana mikutano yake ni stand za mabasi na maeneo ya soko ili akiona wasafiri na wanaonunua bidhaa ajifariji. Chadema ni Vema. Peopleeeeeessssss powerrrrr.
 
tuna ukubali moto wa chadema na asante kwa kutupa update information is power. Tunaamini chadema ni mkombozi wa haya yafutayo

1. Kwa kasi ya chadema -katiba mpya -must
2. Kwa kasi ya chadema vita ya ufisadi itakua na kuwaadibisha mafisadi
3. Kwa kasi ya chadema uoga wa kuhoji utapungua,
4. Kwa kasi ya chadema tutahimiza makazi bora
5. Kwa kasi ya chadema uongozi uchwala utang'oka
6. Kwa kasi ya chadema afya bora itapatikana
7. Kwa kasi ya chadema mikopo elimu ya juu itakuwa ya wachuo wote
8.kw kasi ya chdema kilimo kitakuwa chenye tija
10. Kwa kasi ya chadema kima cha chini 400,000/=
11. Kwa kasi ya chadema mifuko ya jamii kuwatumikia wanachama sio mafisadi
12. Kwa kasi ya chadema uhuru na amani ya kweli vitapatikana.

13 kwa kasi ya chadema elimu bure inawezekana.
 
nahisi yakianza ya Libya au Egypt basi Mwanza au Shy zinaweza kuwa Tahrir Square na ndio itakuwa mikoa ya kwanza kutekwa na waandamanaji
 
Kwa vyovyote iwavyo Chadema ina nguvu na wananchi wanaendelea kuwaunga mkono kila siku. bado ni kitendawili hadi sasa kwamba JK alishinda uchaguzi uliopita, wenye macho na waone wenyewe.
Serikali ya CCM inatakiwa kuwa makini sana inapojaribu kuzima moto wa Chadema kwa sasa vinginevyo ya Misri na Tunisia yanakuja kwa kasi sana.
Wafuasi wa Chadema wako standby karibu nchi nzima, na JK ajue kuwa serikali yake iko mikononi mwa Dr. Slaa na Mbowe, maana hao wakiamrisha tu, basi JK ni out kwa nguvu ya umma.

Ushauri wangu kwa JK ni kwamba, anza kurekebisha mambo kabla jua halijakuchwa, watanzania wa jana si watanzania wa leo. endelea kusikiliza propaganda za akina Tendwa, They gona sell you out.

P/Powerrrrrr
 
ndo now maandamano yanaingia uwanjan ni makubwa sana hv how do u attach picha thru mobile phone
 
Mheshimiwa Regina,

Naomba ufikishe mawazo yafuatayo kwenye kamati za chama huko juu hasa mlioko kwenye huo mkakati wa maandamano.
1. Naomba mfungue matawi kadri muwezavyo kila mnapopita.
2. Mtoe kadi kwa wanachama wapya kila mnapofanya mkutano na kuwafuatilia hao wanachama wapya kama walokole wanavyofuatilia kondoo mpya.
Nikuombe tena..... shughulikieni mambo hayo!!
Haya mambo ni mazuri sana na watu wengi tumeshatoa mawazo yetu mara nyingi lakini hujibu. Unajibu mengine tu!!!
 
Ingawa kaumri kamenikimbia lakini sitasita kusema wera! weraaaaaaaaaaaaaaaa CHADEMA. Mnanikumbusha ile hadithi wa Bulicheka aliyemtimua mfalme Huhihuhi, mfalme wa Wagagagigikoko, nafasi imefaka sasa kwa wagagagigikoko kufungua macho kumwondoa huhihuhi na Bulicheka wetu aambatane na Lizabeta kutuletea ukombozi wenye neema.
Safi sana. Mwenyezi Mungu azidi kuibariki nia njema ya kuwakomboa watanzania. Yours
 
nimefarijika kumuona diwan wangu wa kaloleni rasta na lema mbunge wangu nimejifil ka niko home rchuga kweli cdm huleta watu pamoja
 
WanaJF.

CHADEMA inaendelea na Maandamano Kanda ya Ziwa na leo tuko Mkoa wa Shinyanga.Maandamano ndio yameanza na watu ni wengi mno.Barabara zimefunga msafara unaenda kwa taabu sana.Karibu Pikipiki na Tax zote za Mjini hapa zipo kwenye maandamano kuelekea Uwanja wa Lubaga. Hakika mambo ni moto.

Hakuna Kulala Mpaka Kieleweke

Kutoka kwenye Maandamano Shinyanga

Regia E Mtema
Waziri Kivuli-Kazi na Ajira

Mh. Regia Ufafanuzi kidogo kitu gani kitaeleweka baada ya hayo maandamano?
maana huko Mwanza, Musoma na Tarime mbali na kutuhabarisha juu idadi kubwa ya waandamanaji pamoja na picha kem kem kuna lolote jipya tunalo tarajia toka Shinyanga this time around? maana kama ni wengi kuliko wote je itakuwa kama Tahir Square ya Egypt? au watarudi home baadaye? ufafanuzi please, hasa ukizingatia wewe ni waziri mbadala wa kazi na ajira, hasa ukizingatia leo ni siku ya kazi!!!

 
Ngoma nzito kwa ccm na mafisadi wake!!!! Jamaa yangu mmoja anasema vijana takribani wote wa mjini wanajumuika kwenye maandamano. Kazeni buti dada yangu, nchi hii karibu itakombolewa kutoka kwenye mikono ya wadharimu.
 
Asante Regia Mtema(hon.),jaman narudia mlemle,fungua matawi,gawa kadi za cdm,kwenye mikutano ongeza ombi ili: Ajira kwa vijana, ndugu wahitimu wa mwaka juzi,mwaka jana na waoendelea kuhitimu Vyuo Vikuu hawana ajira! Hawana mikopo,hawana mitaji wala hawana chochote,wako vijiweni na bahasha za kadi wasijue wasisambaze wapi?!!watetee watanzania wote! Msalimu rais wangu, invible president,dr Slaa.
 
I wonder if this will ever happen in dar watu wengi hapa dar si wajasiri kama mikoani ingawa ndo wachochezi wakubwa wa kuwasha moto just wait and see
 
ndo now maandamano yanaingia uwanjan ni makubwa sana hv how do u attach picha thru mobile phone
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom