[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

[PICHA] CHADEMA Ndani ya Shinyanga

Hongera CDM kwa kuimarisha chama kwa kasi ya hali ya juu kiasi hiki

CDM Msigawe kadi za papo kwa papo kama alivyo kuwa anafanya mwanasiasa machachari aliyeshindwa kupata mafanikio kwa mfumo huo (Augustine L. Mrema)

CDM Msifungue Matawi mengi Huo nimfumo uliopitwa na wakati hivyo uta ongeza mzigo kwa chama

Tafuteni kuungwa mkono na wananchi sio kujaza wanachama wasio na commitment yoyote kama akina shibuda

Nikweli wanajamvi wanashauri tofauti na mtazamo wangu lakini mimi nilisha ona mbali na kushauri haya niliyo yarudia leo toka nov 2010
 
SAUTI YA KWANZA HAPOO:
Freeeeedooom is coming, tuumoro..
SAUTI YA PILI TWENDEEE...
 
Hii kauli yako inaashiria nini?

avatar12347_1.gif

 
Ebu kuwa na kamera kwenye kazi zako tafadhali sana, tunataka mfikirie kuleta TV ya kurusha taarifa za Chama acheni kulala Ukombozi sio Mzaa
 
Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz power.....!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
tutaaminije kama moto unawaka zaidi ya shinyanga tuwekee picha ili tuamini.
 
Dah! Picha ndo zimekosekana kabisa jamani, nina hamu ya kumwona Mashanja, Masunga, Mabhula, Misoji nk wakiwa ktk hayo maandamano.

Mageuzi ndani ya Tanzania hivi sasa ni ng'ombe aliyenona akipelekwa machinjioni.

:decision:
 
CDM washeni moto zaidi wameshaanza kuchanganyikiwa.
 
mapinduzi yanakuja uhuru wa kweli na amani ya kweli
 
hapana jamani...kwa hizi picha ninavyoona mwanza ilikuwa zaidi......
 
Ushujaa mkubwa Shinganya. Nawapongeza sana wananchi wa Kanda ya ziwa kwa Upendo wa nchi yao na kuwa na nia ya kutaka kushirikishwa kutatua matatizo.
 
Tunaona hali ya juu na Pongezi kubwa Raisi wa Kuchaguliwa Dr Slaa anapokewa kwa upendo nchi nzima. Swali kubwa ambalo Kikwete na ccm hawataki kujibu ni hili. Kikwete alipigiwa kura na nani? au Wananchi wapi wanafurahia hali ya maisha Tanzania? Huu ndio ukweli sasa na tunaona kila dikteta anapo jitahidi kuiba kura na kujiweka madarakani tunaona wanapatwa na aibu kubwa. Hawa watanzania wanaandamana kumpinga Kikwete na chama chake cha majanga, wananchi wanataka kuhusishwa na sio kufichwa. Mashujaa wa Kweli nchini wanapinda ccm hadharani "Hofu na Uoga Vimeondoka"

Hakika mwananchi wanataka haki zao na kupinga michakachuo ya siri ndani ya ofisi ya raisi na wizarani kufanya serikali kama kitengo cha watu wachache. Wananchi hawamtaki "Rostam" "Kikwete" "Pinda" "Ngereja "Warema" "January" na wapenda rushwa ndani ya ccm.

chadema%2Bmwanza.11.JPG

Chadema


Wakati Umefika kwa Wananchi Kuchukua Taifa Lao Mikononi Mwao. Hakuna Kurudi Nyuma
 
Back
Top Bottom