Mada zingine za kilevi kweli.
jiheshimuwewe dada vipi hujielewi?
-muhambwe ni kwa ipinzani tu!
mi nimeuliza kwa sababu nimekaa naye kwa mda ila huko kwao sijui ndo maana nikasema hata ccm watampitisha kweli?maana jamaa navyomjua ni kigeugeu alikuwa upinzani nikashangaa now anajitokeza ccmSasa mkuu unaniambia niache upinzani wakati unafahamu kuwa me ni mpinzani,ok either CCM wakupitishe ama wasikupitishe bt wanaMUHAMBWE hatutakuchagua kabisa,endelea kukaa Dar ama Russia bt Kb sahau
Wakuu sasa hivi kuna mkutano unaendelea uliondaliwa na CCM ngazi ya wilaya mbali na kukosa watu kituko kikuu ambacho kinaweza kuzua mtafaruku ni maneno ya katibu wa wilaya CCM ,anasema viongozi wa dini hawana mamlaka ya kuwasemea waamini wao kwani hata wao hakuna msafi,ameenda mbali zaidi kwa kumtaja askofu flani jina kapuni kwamba alichaguliwa kwa rushwa.
Mkutano huu wa CCM umeandaliwa kujibu mapigo kufuatia mkutano mkubwa wa wazi ulioandaliwa na makanisa yote ya kikristo ya wilaya Kibondo siku ya jumapili ,ambao pamoja na mambo mengine katika mkutano wa umoja wa kidini uliwahamasisha waamini wao waipigie kura ya hapana katiba pendekezwa.
Sasa wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno.
![]()
Hawa ndo wahudhuliaji wa mkutano
Eti wananchi wamekerwa na matamshi yake na wameanza miguno,sasa nani kawafunga miguu wakae hapo,wananchi mazuzu hao
Watu wa CCM ndo hawa,CCM baibai inazidi kujifuta
Ccm wameishiwa kweli yaani ushauri tuliowapa ACT wa kufanya mikutano sehemu za Stand na madukani ili kupata wasikilizaji wao ndiowanaufanyia kazi...!!! Ukongwe wao uko wapi sasa hawa?
Nilimuona Katibu wao leo tena hawa wameandaa mkutano stendi tena mkutano wenyewe wa Wilaya..!!!! kazi kweli kweli
BACK TANGANYIKA
Kina mzee Makamba kunukuu vifungu vya biblia na msahafu ni sawa ila Maaskofu na mashehe wakinukuu Katiba ni jinai?
..... Kiufupi, Kigoma Hakuna Ccm.!
Navyowajua watu wa hapo Kibondo niwatu wanaojitambua sana,wasikubali kuiludisha Ccm tena kwa sababu kama nikutunyonya walishafanya hivyo.Hapo ndipo nilizaliwa mkuu
comment yako inaonesha kuwa kinachokusumbua hapa ni wivu na sio kingine.Huyu gamba namfahamu,tunamfahamu,hawezi tusumbua wanaMuhambwe kwa sababu wananchi wanamtaka mbunge na diwani anaetokana na wao wenyewe,na si mtu anaegeuza jimbo na wananchi kama vitalu vya kuwindia ,anaekuja kukagua kitalu kama kuna wananyama then anarudi ughaibuni,yeye aendelee kujidanganya kwamba atachaguliwa kwa sababu tu eti amesomea nje
Hahaaha aibu ya mwaka watoto wa lumumba hawana la kusem maana wanajisikia aibu lumumba njoon huku muone mkutano wenu, na bado mwaka huu mtakoma, ila hapo wangelikuwa na fis kidogo wangepa mahudhurio.
olakooze neeza,olakoozee chaane chaaane mahoro
Navyowajua watu wa hapo Kibondo niwatu wanaojitambua sana,wasikubali kuiludisha Ccm tena kwa sababu kama nikutunyonya walishafanya hivyo.Hapo ndipo nilizaliwa mkuu