Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
- Thread starter
- #41
Magamba hatarini kutoweka duniani ifikapo october 2015.
-kila mwana c.c.m kichaa cha laana kimempanda
Laana inawatafuna sana mkuu Will ,wanapapasana kwenye giza
Magamba hatarini kutoweka duniani ifikapo october 2015.
-kila mwana c.c.m kichaa cha laana kimempanda
Hahaaha aibu ya mwaka watoto wa lumumba hawana la kusem maana wanajisikia aibu lumumba njoon huku muone mkutano wenu, na bado mwaka huu mtakoma, ila hapo wangelikuwa na fis kidogo wangepa mahudhurio.
mi nimeuliza kwa sababu nimekaa naye kwa mda ila huko kwao sijui ndo maana nikasema hata ccm watampitisha kweli?maana jamaa navyomjua ni kigeugeu alikuwa upinzani nikashangaa now anajitokeza ccm
du, aibu kweli! magamba kazi wanayo mwaka huu. lazima waombe poo!
siwezi hata siku moja,hata baadhi JF wananifahamu mi nani.Ok mkuu,japo me sio mwanaCCM,lakini kwa jinsi yalivyo haya mafisi labda kama anagunia la fedha,bt nachelea kusema wewe ndo Mtanzania wa Kawaida
Vipi Kasulu, hawajaamka?Asante mkuu kwa kutuwakirisha huko ulipo,Kigoma na Kibondo kwa sasa ni CDM tupu+UKAWA
Mkuu nipo hapa mkutanoni tayari watu washaanza kuondoka jibu
Hukumwelewa vizuri Viol.Sasa mkuu unaniambia niache upinzani wakati unafahamu kuwa me ni mpinzani,ok either CCM wakupitishe ama wasikupitishe bt wanaMUHAMBWE hatutakuchagua kabisa,endelea kukaa Dar ama Russia bt Kb sahau
kweli migamba imechokwa. mbona mkutano wenyewe ni kama kikao cha harusi?
Hapo Mkosamali nae hawamtaki nadhani Chadema wajipange kupeleka mgombea mzuri wachukue hilo jimbo, na nasikia na rafiki yangu Jamal anataka kurudi ulingoni tena
Hiyo kalewa madalaka auhajui anako toka amesahahu kuwa viongozi wake walioko madalakani walisomea kwenyeza taass zakidini..huyo zuzutuuuu
bila kuitaja act hakunogi
siwezi hata siku moja,hata baadhi JF wananifahamu mi nani.
Hukumwelewa vizuri Viol.
Vipi Kasulu, hawajaamka?