Nicholaus Kilunga
JF-Expert Member
- Feb 15, 2014
- 1,188
- 570
- Thread starter
- #61
Olakooze neeza,olakoozee chaane chaaane mahoro
Mlakoze chane,ndashimye bhenebhachu
Olakooze neeza,olakoozee chaane chaaane mahoro
Pigeni kazi. Mwaka huu tunataka iwe kiama chao.I mean mkoa mzma,magamba wapo taabani,ACT na CCM ni sawa na kinyonga,kujifungua kwake ndo mauti yake,CCM imejifungua mtoto ACT na sasa ndo mauti yake
Inabidi unitafute nikupige shule ya kiha. Ni bhenewachu si hivyo ulivyoandika.Mlakoze chane,ndashimye bhenebhachu
Ccm wameishiwa kweli yaani ushauri tuliowapa ACT wa kufanya mikutano sehemu za Stand na madukani ili kupata wasikilizaji wao ndiowanaufanyia kazi...!!! Ukongwe wao uko wapi sasa hawa?
Nilimuona Katibu wao leo tena hawa wameandaa mkutano stendi tena mkutano wenyewe wa Wilaya..!!!! kazi kweli kweli
BACK TANGANYIKA
Mada zingine za kilevi kweli.
kweli migamba imechokwa. mbona mkutano wenyewe ni kama kikao cha harusi?
comment yako inaonesha kuwa kinachokusumbua hapa ni wivu na sio kingine.
Inawezekana kinana kapigwa bit na waziri husika
Barabara ya Kidawe kwenda Nyakanazi ndio inaiadhibu ccm huko siasa ya Kigoma ni ya aina yake tusishangae awam hii hata ACT ikanyakua majimbo huko
Katibu huyu wa wilaya CCM bwana Kinanda anasema viongozi wa dini kama wamekosa waamini wayageuze mkanisa vyama vya kisiasa na wayasajiri ili waweze kuongea siasa,kwani wao si wasafi pia
Inabidi unitafute nikupige shule ya kiha. Ni bhenewachu si hivyo ulivyoandika.
Pigeni kazi. Mwaka huu tunataka iwe kiama chao.
mbona namuona mama mmoja akipanga mafungu ya nyanya.
Huyu kijana mnamfahamu?naona anafanya kampeni yake facebook,huko mtaani mnamfahamu?![]()
Huyu gamba namfahamu,tunamfahamu,hawezi tusumbua wanaMuhambwe kwa sababu wananchi wanamtaka mbunge na diwani anaetokana na wao wenyewe,na si mtu anaegeuza jimbo na wananchi kama vitalu vya kuwindia ,anaekuja kukagua kitalu kama kuna wananyama then anarudi ughaibuni,yeye aendelee kujidanganya kwamba atachaguliwa kwa sababu tu eti amesomea nje
we unadhani ccm watampitisha agombee?acha upinzania najua ccm hawana lao pale,ila huyu hata ccm watampitisha?