Picha: CCM waendelea kujimaliza Muhambwe

Hicho kiti cha Mbunge aliepo CCM wanampango wa kumpatia yule Mama atakaehamia CDM kutoka ACT
 
Imeandikwa wapi hayo uyatamkayo?mbona mnahofu nami?kwa sasa kazi tu hakuna majungu

Makubaliano ya Ukawa ni kuwa na mgombea mmoja wa Urais, kugawana majimbo ya Ubunge na Udiwani kutokana na umaarufu wa chama katika maeneo husika, Jingine ni kuwaacha wabunge walioko sasa kuendelea kuomba ridhaa kwenye majimbo yao, hapa kwa kifupi ni kuwa Muhambwe mgombea ni Felix, Kasulu ni Machali, Ubungo Mnyika, Iringa Msigwa etc.

Swali mbona sasa wewe unatangaza nia huku ukijua Felix ndiyo mgombea halali wa Ukawa muhambwe, Je kwa hizi kampeni zako unazojipigia chini chini huoni kama unamuharibia mwana Ukawa Felix, na huoni kama huu ni mwanzo wa mtafaruku utakaoleta makundi wakati wa uchaguzi?.
 
Mpaka sasa utaratibu wa UKAWA ni kusimamisha mgombea mmoja,bt ili kuwapata wagombea utaratibu ni kura za maoni kma ilivyokuwa local government,so kutangaza nia sio tatzo hata kama jimbo linampinzani,ndo mana mwezi ulioisha kamanda Mbowe mwenyekiti wa taifa CDM alikutana nasi watia nia wa kanda ya magharibi makao makuu ya kanda mkoani Tabora,so ingekuwa haturuhusiwi asingewaita watangaza nia,yoyote anaefaa ndani ya UKAWA atapimwa na wananchi na si kisa kuna UKAWA ndo apite mbovu,
 
Halafu washaurini magamba wenzenu waache kupandikiza chuki za kidini,coz taifa hili ni letu sote,hawawezi kuhubiri udini na kutukana viongozi wa dini ,then wakifikiri watabaki salama

Nikki bandiko lako limejaa udini na uchochezi wa hali ya juu, siasa hazifanyi hivyo kaka, Tanzania ni zaidi ya CCM na UKAWA sasa kuwa na siasa staarabu.

BTW Mambo Jambo si mwanachama wa chama chochote cha siasa, sijawahi kuwa na chama wala sitarajii.
 
Hicho kiti cha Mbunge aliepo CCM wanampango wa kumpatia yule Mama atakaehamia CDM kutoka ACT

Hapo CCM watakuwa wamejimaliza wenyewe,mama Mtulano hajawahi kufaa kokote kule,CDM alikuwa mzigo sana bt mkuu wa wilaya aliyemaliza mda wake Venance Mwamoto amemdanganya mwalimu wa watu
 
Ogah ,

Mimi sikupata bahati ya kuyaona hayo madai ya waislamu juu ya mkapa , ila ningefurahi sana kama ungeyapost hapa . Lakini nadhani ishu ya kujoin vyuo vya elimu ya juu tanzania iko very straight forward na wala aijali dini ,, inategemea grade ulizopata ukiwa kidato cha sita na kozi unayotaka kujoin !

Najua suala hili watu hawataki kuzungumzia lakini ni very sensitive na kuna kila sababu ya kuzungumzia haya mambo before it is too late ! Hivi Jk mwenyewe atajisikieje siku hiyo atakapokuwa akiwaapisha hao mabalozi watano na kila mmoja akiapa kutumia kitabu kimoja tuu cha dini ?

Ndio maana mwanzoni kabisa nimesema ni lazima tunapotoa mawazo yetu hapa ni muhimu kutokuwa too theoretical.

Hii kauli ya sina chama mara nyingi hutolewa na magamba kwenye mitandao pale wanapozidiwa kwa hoja,so sikushangai wewe kusema huna chama,utakuta mtu anasema hana chama then ukisoma matamshi yake ni ya kuponda upinzani na kuisifia CCM,shame wadanganyeni wajinga
 
Mpaka sasa utaratibu wa UKAWA ni kusimamisha mgombea mmoja,bt ili kuwapata wagombea utaratibu ni kura za maoni kma ilivyokuwa local government,so kutangaza nia sio tatzo hata kama jimbo linampinzani,ndo mana mwezi ulioisha kamanda Mbowe mwenyekiti wa taifa CDM alikutana nasi watia nia wa kanda ya magharibi makao makuu ya kanda mkoani Tabora,so ingekuwa haturuhusiwi asingewaita watangaza nia,yoyote anaefaa ndani ya UKAWA atapimwa na wananchi na si kisa kuna UKAWA ndo apite mbovu,

Nina mashaka makubwa sana na hili bandiko lako, lakini nikupe benefit of doubt
Je haukubaliani na utendaji wa Mwanaukawa mwenzako Mkosamali hadi uamue kuchukua mikoba yake, Usingeweza kubaki kama mshauri wake tu, na maanisha haukufurahishwa na utendaji wa Mkosamali?..
 
Ogah ,

Mimi sikupata bahati ya kuyaona hayo madai ya waislamu juu ya mkapa , ila ningefurahi sana kama ungeyapost hapa . Lakini nadhani ishu ya kujoin vyuo vya elimu ya juu tanzania iko very straight forward na wala aijali dini ,, inategemea grade ulizopata ukiwa kidato cha sita na kozi unayotaka kujoin !

Najua suala hili watu hawataki kuzungumzia lakini ni very sensitive na kuna kila sababu ya kuzungumzia haya mambo before it is too late ! Hivi Jk mwenyewe atajisikieje siku hiyo atakapokuwa akiwaapisha hao mabalozi watano na kila mmoja akiapa kutumia kitabu kimoja tuu cha dini ?

Ndio maana mwanzoni kabisa nimesema ni lazima tunapotoa mawazo yetu hapa ni muhimu kutokuwa too theoretical.

Hujaeleweka mkuu
 
Mkuu Penguine heshima mbele sana mkuu wangu.

Sijauelewa uzi wako unaweza kufafanua tafadhari

Ni kweli sikueleza vema Ndg. Nikwamba, Yupo Mama mwana CDM, atahamia ACT siku za usoni, atapigiwa debe na ACT na CCM ili kumtoa Mbunge aliepo sasa hapo Muhambwe.Matter of time, nitaleta yote yaliyojili kwenye kikao cha Mkakati wao!
 
Nina mashaka makubwa sana na hili bandiko lako, lakini nikupe benefit of doubt
Je haukubaliani na utendaji wa Mwanaukawa mwenzako Mkosamali hadi uamue kuchukua mikoba yake, Usingeweza kubaki kama mshauri wake tu, na maanisha haukufurahishwa na utendaji wa Mkosamali?..

UKAWA haujaja kuuwa vyama vingine,wala nia za wagombea,nachojaribu kutimiza ni Haki yangu ya kikatiba ya nchi na chama ya kuchagua na kuchaguliwa,suala anafaa ama hafai hilo wananchi ndo wataamua bt nachoamini kila mmoja anamadhaifu yake na mazuri yake,just wait and see,huku muhambwe kwa sasa wanataka mbunge wa jimbo na si taifa
 
Nina mashaka makubwa sana na hili bandiko lako, lakini nikupe benefit of doubt
Je haukubaliani na utendaji wa Mwanaukawa mwenzako Mkosamali hadi uamue kuchukua mikoba yake, Usingeweza kubaki kama mshauri wake tu, na maanisha haukufurahishwa na utendaji wa Mkosamali?..

Hiyo ndo demokrasia mkuu na gharama zake
 
Ni kweli sikueleza vema Ndg. Nikwamba, Yupo Mama mwana CDM, atahamia ACT siku za usoni, atapigiwa debe na ACT na CCM ili kumtoa Mbunge aliepo sasa hapo Muhambwe.Matter of time, nitaleta yote yaliyojili kwenye kikao cha Mkakati wao!

Penguine.

Mkakati wa Chama tawala ilikuwa ni kumtafuta kijana msomi, mwenyeji wa Kibondo na mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee, mwaka 2014 Mpango ukakamilika atapatikana Nduhi Mapigano, Navyoongea na wewe mpango umeshaisha na kijana amekubali kuchukua jimbo. ACT wataingia ili kusaidia kugawa kura za UKAWA na hili litafanyika na Buyungu pia. Kama anavyosemaga kamanda wa Anga Mh. Mbowe, Politics is a game of dynamics + numbers, hapa piga ua galagaza CCM wanachukua hilo jimbo
 
Nina mashaka makubwa sana na hili bandiko lako, lakini nikupe benefit of doubt
Je haukubaliani na utendaji wa Mwanaukawa mwenzako Mkosamali hadi uamue kuchukua mikoba yake, Usingeweza kubaki kama mshauri wake tu, na maanisha haukufurahishwa na utendaji wa Mkosamali?..

Huyu yankee hana habari wala hajui makubaliano ya viongozi wake
 
Penguine.

Mkakati wa Chama tawala ilikuwa ni kumtafuta kijana msomi, mwenyeji wa Kibondo na mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee, mwaka 2014 Mpango ukakamilika atapatikana Nduhi Mapigano, Navyoongea na wewe mpango umeshaisha na kijana amekubali kuchukua jimbo. ACT wataingia ili kusaidia kugawa kura za UKAWA na hili litafanyika na Buyungu pia. Kama anavyosemaga kamanda wa Anga Mh. Mbowe, Politics is a game of dynamics + numbers, hapa piga ua galagaza CCM wanachukua hilo jimbo

:lol:mnafarijiana vizuri,eti kijana kijana msomi mwenye ushawishi mkubwa kwa vijana na wazee,hakuna mwenye ushawishi anaetokea magamba,jamaa mnaempigia upatu ni mzaqliwa wa hapa aliezamia ughaibuni,UKWA yatosha Muhambwe

:eyebrows:
 
Back
Top Bottom