Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,910
- 11,316
Nilipiga kura Mbeya 2010!Ushindani ndani ya CCM ilikuwa kati ya incumbent Mpesya na kijana Mwang'onda na hatimaye Mpesya akashinda!2. Wote tunajua sababu zilizompa ushindi mgombe wa NCCR 2010, alijikusanyia maelfu ya kura za hasira kutoka CDM na CCM, Hili unalijua sana limetokea Mbeya Mjini, Iringa Mjini etc
Hata angeshinda Mwang'onda bado Sugu angeshinda tena kwa margin kubwa zaidi sababu wave ile ya mabadiliko iliisha waingia wana Mbeya
Madai ya CCM kama walipoteza Jimbo la Mbeya 2010 sababu eti ya migongano yao ya ndani hayana msingi wowote
2015 Sugu atapambana na Elias Mwanjala na huyu ni tishio mno kwa Sugu sababu ya uwezo wake mkubwa wa fedha aliyo nayo!Jamaa huyu ana hela mno