Picha: Bodaboda na Simba uso kwa uso

Sasa Kama Walimzuia Na Kumsihi Lakini Yeye Akakataa Wao Wangefanya Nini Wakati Kidume Katulia Tuli Mbele Akitingisha Mkia Tu?
 
kwenye nchi za wenzetu hii ni bonge la picha mkuu. ukiwa mchanja iwekee copyright la sivyo wajanja watachukua fursa

Zingatia Huo Ushauri Mkuu Kwani Hii Picha Ukitulia Inaweza Hata Kukuondolea Umasikini Kwa Kuula Kimaisha Kwani Ni Nzuri Na Inavutia.
 
Reactions: Paw
Huyo hakuwa Simba, kwa anaeijua Mbeya vizuri hapo mmeingilia Mingo ya mtu. Mlipopita lazima jamaa alirudi kuendelea kutega mingo yake.
 
Hapo mzee wa Kumemena alikuwa anamsubiria Yanga akitoka Mbeya tu amtendee haki halafu nyingi Vitimu vingine mnakatiza. Aaaaarrgggggg.....
 
Wasafwa Sijuia Wasafa Utawajua Tu!
We si uliaga jana tarehe 18/02/2015 unaenda safari ya mbali hutakuwepo JF kwa mwaka mmoja. Imekuaje tena?
Addiction....Addiction...Addiction......hahahahaaaaa
 
We si uliaga jana tarehe 18/02/2015 unaenda safari ya mbali hutakuwepo JF kwa mwaka mmoja. Imekuaje tena?
Addiction....Addiction...Addiction......hahahahaaaaa

Mkuu JF Imeshaniathiri Na Kuniroga Kwani Napapenda Humu Kuliko Hata PAPUCHINI.
 
Wasafwa Sijuia Wasafa Utawajua Tu!
We si uliaga jana tarehe 18/02/2015 unaenda safari ya mbali hutakuwepo JF kwa mwaka mmoja. Imekuaje tena?
Addiction....Addiction...Addiction......hahahahaaaaa
 
Zingatia Huo Ushauri Mkuu Kwani Hii Picha Ukitulia Inaweza Hata Kukuondolea Umasikini Kwa Kuula Kimaisha Kwani Ni Nzuri Na Inavutia.

Atafute wale jamaa wa bbc watawafikishia ujumbe wahusika inaweza kuwa picha bora ya mwaka.
 
Hakuna mnyama rafiki kwa binadamu kama simba sema uoga wetu na kujihami ndo hutusababishia hatari, ningekuwa ni mimi ningeshuka na kuisukuma pikipiki na kupita kando kando yake kisha ningeendelea na safari
 
Kilichomuokoa huyo ni rangi ya kipando na shati lake tu, vinginevyo Mzee wa kumemena anamsubiri mtu wake leo yuko Sokoine Stadium.
 
Zingatia Huo Ushauri Mkuu Kwani Hii Picha Ukitulia Inaweza Hata Kukuondolea Umasikini Kwa Kuula Kimaisha Kwani Ni Nzuri Na Inavutia.

hiyo picha imeshakuwa ya public hivyo ameshapoteza haki miliki
 
Hakuna mnyama rafiki kwa binadamu kama simba sema uoga wetu na kujihami ndo hutusababishia hatari, ningekuwa ni mimi ningeshuka na kuisukuma pikipiki na kupita kando kando yake kisha ningeendelea na safari
Ukipita hapo utashtukia inzi wanaifuata samadi yao ambayo wakati huo itakuwa imejaa kwenye suruali.
 
Ahsante mleta picha.Nimepata wazo kwa jeshi la Polisi namna ya kupunguza ajali za bodaboda barabarani.waanzishe zoo kufuga hii kitu.FFU na mbwa,Traffic na Simba.Adabu itarudi barabarani!tumechoka kuokota side mirror zetu daily!
 
Siku nyingine ukisikia nafasi za mafunzo ya Mgambo jisajili ili kuweza kujifunza ujasiri japo wa awali
 
Nina Uhakika Iwe Isiwe Alipofunga Tu Breki Lazima Alijamba Na Kutoa Kidooooooogo Big Haja Na Nahisi Alipofika Kwake Breki Ilikuwa MSALANI.
Msalani afuate nini wakati kila kitu kiliishia hapo hapo, labda useme alikimbilia kubadili nguo na kyupi.
 
Waendesha boda boda wengi wanatumia vitu vinavyo wafanya akili zao zisifanye kazi vyema.

Hii ya simba imenikumbusha thread moja hapa jamaa aliyekuwa ana ulizia kama anaweza kupita na boda boda Mikumi National park.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…