FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

The statement is entirely incorrect
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Niaje waungwana

Wakuu leo naomba tuiangalie hii picha kwa makini, halaf tuutafakari msemo huu wa wahenga wetu wa zamani hapo chini 👇

1. Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

What Goes Around .... Comes Around 🤣🤣🤣
photo_2026-03-11_15-26-41.jpg
img_1_1773221184047.jpg
 
Tunachokijua
Claim

There have been claims circulating online alleging that Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu was killed or seriously wounded in recent retaliatory strikes.

Verdict

Digital monitoring conducted by JamiiCheck using verification tools has established that the claim is false. No credible or authoritative source has reported or published any information supporting the allegation.

Israeli officials have not confirmed any such incident, and Netanyahu continues to carry out his duties as Prime Minister. Recent public updates indicate that he has remained actively engaged in official government business.

On March 10, 2026, Benjamin Netanyahu posted on X (formerly Twitter) about his visit to the National Health Command Center alongside Health Minister Haim Katz. During the visit, he received a briefing on the operations of the health system and met personnel working around the clock to ensure medical treatment, operational continuity, and emergency response services for Israeli citizens.

According to Prime Minister's Office website Netanyahu, visited Ashdod Port, together with Transport Minister Miri Regev, and conducted a professional tour and assessment regarding the continuity of Israel's maritime trade in the midst of Operation Roaring Lion. They closely monitored port operations, the unloading of goods and supplies for the Israeli economy, and the existing inventory reserves that ensure economic stability.

"I am here at Ashdod Port. The ports and skies are working and the economy is going ‘full throttle' with tremendous force. We are going to pass a budget; we decided on this today, a security budget. The Government is strong and stable, but much more importantly, the country is strong and stable. The State of Israel is showing the world what a fighting nation, a fighting state, and a super-resilient economy look like." Prime Minister Netanyahu​
La kuvunda halina ubani mkuu. Safari hii Shetani nyau kaingia kwenye 18 za waajemi, hivyo kwisha habari yake.

Bado wapambe wake mnajitahidi kuonesha kuwa jamaa aliumbwa ili aishi bila kufa, ila nature inakataa. Na ubaya wa kifo hata ukifiche vipi one day kitakuumbua tu.
I will say tusubiri confirmation na si kuamini rumors.

And i am not mpambe, just simple guy naamini facts kuliko hisia na mihemko
 
Rest In Hell (RIH) Benjamin Shetani nyau. Nyumbu wako walikupenda, lkn shetani amekupenda zaidi na kukunyakua ukawe msaidizi wake huko jehannam

Body language ya mkuu wa majeshi hapo chini inaongea kila kitu
 
HABARI MPYA: Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu ametoa ujumbe wa video kuthibitisha kuwa yuko hai, na pia akaonyesha mkono wake baada ya uvumi mtandaoni kudai kimakosa kwamba alikuwa na vidole sita.

Tafasiri ya mazungumzo hayo ya Kiebrania:

Muuza kahawa:

Shalom! Karibu.

Benjamin Netanyahu:

Shalom. Niko hapa kwenye mkahawa. Nawapenda sana watu kama nyinyi — namna mnavyokaribiana na hali hii ni ya ajabu sana.

Netanyahu:

Unaweza kuona watu wanatoka kidogo kupata hewa, lakini wanabaki karibu na sehemu za kujikinga.

Netanyahu:

Uimara wenu unatutia nguvu sisi — mimi, serikali, jeshi la Israel Defense Forces, na pia Mossad.

Netanyahu:

Tunafanya mambo mengi ambayo siwezi kuyaeleza sasa… lakini tunaichapa Iran vikali sana. Na pia kule Lebanon tunaendelea.

Netanyahu:

Nyinyi mnaniambia niendelee — nami nawaambia pia: muendelee.

Netanyahu:

Endeleeni kufuata maelekezo ya Home Front Command. Sikilizeni maelekezo yao kila wakati, na hakikisheni mko karibu na maeneo ya kujikinga kadiri iwezekanavyo.
(Netanyahu anaangalia kahawa)

Netanyahu:

Kahawa ni nzuri sana.

Muuza kahawa (kwa utani kidogo):

Sijui… lakini sidhani kama ni hatari hapa.
 
The proof that Netanyahu is alive is a Netanyahu with 6 fingers.
unconfirmed NEWS are 4 days ago he died in an attack on his house where his brother and Ben Gvir also died.
Shetaninyau alijiandalia kifo chake mwenyewe.
img_1_1773929837362.jpg
 
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu
Pamoja na hii video ya cnn kudai ni press ya Netanyahu na waandishi wa habari hapo Jerusalem lakini mtu mwenye akili timamu tu ataelewa hii video ina ukakasi mwingI sana, atagundua hii video inakasoro nyingi full covering haipo haonekani Netanyahu akiongea live na waandishi au wakihojiana live, hii clip imetusaidia kuprove zaidi kuwa Netanyahu kafa......Hii video cnn wamedhani itaficha ukweli na kwamba prime minister yupo hai ila ukweli imeprove kabisa kuwa netanyahu keshafariki...Hii video imebeba code nzito sana.
Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw
 
Attachments

  • Screenshot_20260320-144444_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144444_Instagram Lite.jpg
    106.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260320-144513_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144513_Instagram Lite.jpg
    106.2 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260320-144456_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144456_Instagram Lite.jpg
    98.7 KB · Views: 2
  • Screenshot_20260320-144527_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144527_Instagram Lite.jpg
    106.8 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260320-144433_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144433_Instagram Lite.jpg
    143.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260320-144414_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144414_Instagram Lite.jpg
    145 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260320-144357_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144357_Instagram Lite.jpg
    107.4 KB · Views: 1
  • Screenshot_20260320-144341_Instagram Lite.jpg
    Screenshot_20260320-144341_Instagram Lite.jpg
    108.6 KB · Views: 1
Netanyahu amekufa CNN wameprove rasmi
Duuh,
Kingereza hakipandi kabisa, siyo?
Hata hiyo video uliyoweka hukusikiliza na kuelewa?

Tafuta mtu akutafsiriye?

Mwandishi anasema hii ni press conference ya Netanyahu ya kwanza tangu vita ianze, amemuuliza maswali kadhaa na amejibu vizuri tu, halafu wewe unasema hayupo?!!
 
Hahaha
 
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu

Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw

Uelewa wako mdogo na ngeli inakupiga chenga.

Nikuulize swal dogo ambalo liko
Mdan ya uwezo wako.
Hivi huyo Kiongozi wa Iran uliyemuweka kwa Dp yako bado yuko hai?.
 
Uelewa wako mdogo na ngeli inakupiga chenga.

Nikuulize swal dogo ambalo liko
Mdan ya uwezo wako.
Hivi huyo Kiongozi wa Iran uliyemuweka kwa Dp yako bado yuko hai?.
Takataka wewe nilijua tu kuna ng'ombe zitakuja kuniattack kwenye uzi....Umesoma thread yangu ukaielewa?Huoni kupitia hiyo video netanyahu hayupo na waandishi wanahoji AI? Yuko wapi sasa
 
Takataka wewe nilijua tu kuna ng'ombe zitakuja kuniattack kwenye uzi....Umesoma thread yangu ukaielewa?Huoni kupitia hiyo video netanyahu hayupo na waandishi wanahoji AI? Yuko wapi sasa

Hivi ni kwamba huoni hiyo Video mwandish ametumia simu yake kurekodi na baadae kukata vipande na kuedit subtitle na kurusha Mtandaoni.

Yaan Amejirekod akiwa anauliza maswal na akamrekodi akiwa anajibu na mwishon akajirekodi kuonyesha alikuwa amesimama eneo la tukio ambalo kwa nyuma Nentanyau ndio alikuwepo na baadae akaedit kwa app ya simu na kuunga iwe video moja na akarusha mtandaoni.

Hiyo sio AI ww kobaz.

Najua uwezo wako mdogo. Kwahiyo Nimekutafsiria kwa urahisi ili uelewe.

alaf utabadili profile picha had lini?.
kila kiongozi utakayemuweka hapo watapita nae.
 
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu
Pamoja na hii video ya cnn kudai ni press ya Netanyahu na waandishi wa habari hapo Jerusalem lakini mtu mwenye akili timamu tu ataelewa hii video ina ukakasi mwingI sana, atagundua hii video inakasoro nyingi full covering haipo haonekani Netanyahu akiongea live na waandishi au wakihojiana live, hii clip imetusaidia kuprove zaidi kuwa Netanyahu kafa......Hii video cnn wamedhani itaficha ukweli na kwamba prime minister yupo hai ila ukweli imeprove kabisa kuwa netanyahu keshafariki...Hii video imebeba code nzito sana.
Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw

Unajidhalilisha sana! Hata akifa nini cha ajabu wakati ni binadamu kama wewe. Mtu yeyote anaweza kufa. Acha upumbavu huo wa kila dakika kuandika amafariki, so what?
 
Hivi ni kwamba huoni hiyo Video mwandish ametumia simu yake kurekodi na baadae kukata vipande na kuedit subtitle na kurusha Mtandaoni.

Yaan Amejirekod akiwa anauliza maswal na akamrekodi akiwa anajibu na mwishon. akajirekodi kuonyesha alikuwa amesimama eneo la tukio ambalo kwa nyuma Nentanyau alikuwepo na baadae akaedit kwa app ya simu na kurusha mtandaoni.

Najua uwezo wako mdogo. Kwahiyo Nimekutafsiria kwa urahisi ili uelewe.

alaf utabadili profile picha had lini?.
kila kiongozi utakayemuweka hapo watapita nae.
🤣🤣🤣

Saa leko shem lake 👋🏼
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom