FALSE Picha: Benjamin Netanyahu kwisha habari yake!

The statement is entirely incorrect
Source #1
View Source #1
Source #2
View Source #2
Niaje waungwana

Wakuu leo naomba tuiangalie hii picha kwa makini, halaf tuutafakari msemo huu wa wahenga wetu wa zamani hapo chini 👇

1. Mshahara wa Dhambi ni Mauti.

What Goes Around .... Comes Around 🤣🤣🤣
photo_2026-03-11_15-26-41.jpg
img_1_1773221184047.jpg
 
Tunachokijua
Claim

There have been claims circulating online alleging that Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu was killed or seriously wounded in recent retaliatory strikes.

Verdict

Digital monitoring conducted by JamiiCheck using verification tools has established that the claim is false. No credible or authoritative source has reported or published any information supporting the allegation.

Israeli officials have not confirmed any such incident, and Netanyahu continues to carry out his duties as Prime Minister. Recent public updates indicate that he has remained actively engaged in official government business.

On March 10, 2026, Benjamin Netanyahu posted on X (formerly Twitter) about his visit to the National Health Command Center alongside Health Minister Haim Katz. During the visit, he received a briefing on the operations of the health system and met personnel working around the clock to ensure medical treatment, operational continuity, and emergency response services for Israeli citizens.

According to Prime Minister's Office website Netanyahu, visited Ashdod Port, together with Transport Minister Miri Regev, and conducted a professional tour and assessment regarding the continuity of Israel's maritime trade in the midst of Operation Roaring Lion. They closely monitored port operations, the unloading of goods and supplies for the Israeli economy, and the existing inventory reserves that ensure economic stability.

"I am here at Ashdod Port. The ports and skies are working and the economy is going ‘full throttle' with tremendous force. We are going to pass a budget; we decided on this today, a security budget. The Government is strong and stable, but much more importantly, the country is strong and stable. The State of Israel is showing the world what a fighting nation, a fighting state, and a super-resilient economy look like." Prime Minister Netanyahu​
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu
Pamoja na hii video ya cnn kudai ni press ya Netanyahu na waandishi wa habari hapo Jerusalem lakini mtu mwenye akili timamu tu ataelewa hii video ina ukakasi mwingI sana, atagundua hii video inakasoro nyingi full covering haipo haonekani Netanyahu akiongea live na waandishi au wakihojiana live, hii clip imetusaidia kuprove zaidi kuwa Netanyahu kafa......Hii video cnn wamedhani itaficha ukweli na kwamba prime minister yupo hai ila ukweli imeprove kabisa kuwa netanyahu keshafariki...Hii video imebeba code nzito sana.
Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw

Sasa kwa akili yako ndogo tu unadhani kiongozi mkubwa wa nchi yoyote yenye nyuklia anaweza kuuliwa kwenye vita bila kuona majivu yenye radiation...hizi ni ndoto za mchana hebu achana nazo..
 
Huyo ni mshia wa Mtoni kwa Aziz Ali katika ubora wake na kuna kipindi pia walizusha kwamba Trump alikuwa amekufa na pia wakaleta nyingine kutoka masjid ubwabwa kwamba aliyesafiri kwenda Alaska kuonana na Trump hakuwa Putin eti ilikuwa ni Putin's Ghost.🤣🤣🤣🤣
 
Unafikir wairan wana akili za kishoga kama za ukoo wako?
 
Huyo ni mshia wa Mtoni kwa Aziz Ali katika ubora wake na kuna kipindi pia walizusha kwamba Trump alikuwa amekufa na pia wakaleta nyingine kutoka masjid ubwabwa kwamba aliyesafiri kwenda Alaska kuonana na Trump hakuwa Putin eti ilikuwa ni Putin's Ghost.🤣🤣🤣🤣
Weka ushahidi hapa kuwa ni lin nimewahi kusema hivyo
Pia pole sana aisee kwanza umekula?
 
Eti
Hivi ni kwamba huoni hiyo Video mwandish ametumia simu yake kurekodi na baadae kukata vipande na kuedit subtitle na kurusha Mtandaoni.

Yaan Amejirekod akiwa anauliza maswal na akamrekodi akiwa anajibu na mwishon akajirekodi kuonyesha alikuwa amesimama eneo la tukio ambalo kwa nyuma Nentanyau ndio alikuwepo na baadae akaedit kwa app ya simu na kuunga iwe video moja na akarusha mtandaoni.

Hiyo sio AI ww kobaz.

Najua uwezo wako mdogo. Kwahiyo Nimekutafsiria kwa urahisi ili uelewe.

alaf utabadili profile picha had lini?.
kila kiongozi utakayemuweka hapo watapita nae.
Eti alikua anatumia app na blah blah kibao hizo zote ni blah blah zako tu kwanza ulikuwepo? Hebu hata kasome comments za wamarekani huko kwenye hiyo post halafu ndo uje urudi kutetea ushuzi wako hapa kizuka
Kwamba una akili kuliko wamarekani wote na wazungu wewe goyim?
 
Unajidhalilisha sana! Hata akifa nini cha ajabu wakati ni binadamu kama wewe. Mtu yeyote anaweza kufa. Acha upumbavu huo wa kila dakika kuandika amafarik
Unajidhalilisha sana! Hata akifa nini cha ajabu wakati ni binadamu kama wewe. Mtu yeyote anaweza kufa. Acha upumbavu huo wa kila dakika kuandika amafariki, so what?
Kati yangu mimi na wewe unayezunguka na bendera za Israel unavaa hadi bikini iloshonwa na kitambaa cha bendera ya Israel nani anajidhalilisha?
 
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu
Pamoja na hii video ya cnn kudai ni press ya Netanyahu na waandishi wa habari hapo Jerusalem lakini mtu mwenye akili timamu tu ataelewa hii video ina ukakasi mwingI sana, atagundua hii video inakasoro nyingi full covering haipo haonekani Netanyahu akiongea live na waandishi au wakihojiana live, hii clip imetusaidia kuprove zaidi kuwa Netanyahu kafa......Hii video cnn wamedhani itaficha ukweli na kwamba prime minister yupo hai ila ukweli imeprove kabisa kuwa netanyahu keshafariki...Hii video imebeba code nzito sana.
Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw

Mkuu lugha Inakusumbua achana nayo usisambaze habari za uongo
 
Halaf wayahudi wa jf wanasema ni mteule
Na wewe Mu_iran wa Tanzania unasemaje? Ndio Yesu ni mteule kwa mujibu wa Ukristo

Dini zinataka kuvumiliana mkuu katika nchi kama zetu.

Unajua katika hali ya kawaida kukukubali kitabu ambacho kimekuja MIAKA MIA SITA baada ya Yesu kufa, TENA KIKIKUSANYWA KWA NYAKATI TOFAUTI NA WATU TOFAUTI, halafu kina hadithi za kitabu kile kile cha Wayahudi na habari za Yeshua akiitwa Issa linakuwa suala gumu na haliwezi kuwa na hitimisho.

Tuvumiliane mkuu, ni kama Wasukuma na stori ya Mwanamalundi, miaka yote imepita aje mtu aanze kusema Mwanamalundi alikuwa mzungu 🙂

Yani kama tu nyie Waarabu na Wahindi sisi Wabantu weusi tunavyowavumilia kuwa na nyie ni Watanzania, ndani kabisa katika damu zetu tunatamani kama ingewezekana muende tu huko kwenu UARABUNI Iran, Yemen n.k kama Wazungu walivyoondoka.

KUHUSU AYATOLLAH NA NETENYAHU KUFA NA KUUANA SIDHANI KWA SISI WATU WEUSI KAMA NI ISSUE SAANAA.
Tatizo kwa kuwa wewe una damu yao, chotara sijui na una share nao imani unafikiri na sisi tunapata hiyo feelings.
Netenyahu akifa siwezi kusikitika kama nilivyoona picha za waandamanaji au mwili wa yule mfanya biashara Arusha, au mzee Kibao.

Hata Ayatollah alivyokufa sikuwa sana. Itapendeza kama vita zingekuwa zinaenda hivyo, Yani jamaa kama Wamempata Netenyahu, nao Israel waweke PM mpya sijui XXX Netenyahu halafu nae ahakikishe anamuua Mojtaba, nao wachague mwingine akamuue huyo Netenyahu mpya.
 
Leo ndo siku nimeshangaa sana na sitaki kuongeza neno lolote
Nilivyowaambia jamaa kafa hadi RT wakaprove baadhi hawakuamini, Watu wa magharibi wakiwemo waandishi wa habari, wanadiplomasia na wabunge wa UK kina George Galloway wakasema sasa ni verfied kwa Netanyahu alishafariki muda tu na aliuawawa na Iran
Huyu mwandishi wa habari wa CNN kaenda kwenye press ya Netanyahu cha ajabu hawajamkuta

Waandishi wamefika muhusika hayupo na zipo bendera tu

Even watumishi wa ofisi ya waziri mkuu waliweka makaratasi ya hotuba mezani na kuondoka.

Jamaa hakutokea na hata video unazoona akiongea eti na waandishi wa habari watu wanauliza maswali huku yeye akiwa hayupo

Mwandishi wa cnn kashoot eneo zima netanyahu hayupo ni bendera na vitu tu
Pamoja na hii video ya cnn kudai ni press ya Netanyahu na waandishi wa habari hapo Jerusalem lakini mtu mwenye akili timamu tu ataelewa hii video ina ukakasi mwingI sana, atagundua hii video inakasoro nyingi full covering haipo haonekani Netanyahu akiongea live na waandishi au wakihojiana live, hii clip imetusaidia kuprove zaidi kuwa Netanyahu kafa......Hii video cnn wamedhani itaficha ukweli na kwamba prime minister yupo hai ila ukweli imeprove kabisa kuwa netanyahu keshafariki...Hii video imebeba code nzito sana.
Pia kwenye netanyahu wa kwenye video ni AI angalieni viganja vyake akihutubia

Uso na mwili havipatani...Nimeweka link hapo aisee ukisoma hizo comment duuh hii video haina muda cnn wataifuta

Link hii hapa nawawekea mkajionee wenyewe tena hii ni link ya cnn wenyewe aisee ni maajabu

View: https://www.instagram.com/reel/DWFi-yrjn6d/?igsh=NHRjOG1vdTV1aTIw

Punguza mihemko mkuu.

Siku hizi umekuwa kama kichaa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom