Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Wengine tunahudhunika wengine wanafurahia hela ya kujengea maghorofa, kuendesha magari mazuri na kutuwakilisha kwenye siasa. Balaa gani hili!
 
mkuu asante sana kwa mapicha , wanasema siku zote mapicha yana sauti nyororo mno kuliko maneno matupu , japo haya yanasikitisha .
 
Mungu aendelee kuwaumbua na wafe Sana na hayo madawa!!
 
From now onwards sili tena kitu kinachoitwa utumbo. Umenijengea picha mbaya sana nikikumbuka ile supu ya utumbo ninayobugia pale kwa Mangi kila asubuhi na jioni. Duh!

huwa unakula utumbo wa binadamu?. mia
 
Baada ya kuangalia hz pcha na ile video yake, heshima yangu na adabu kwa madaktari na waugumy na zaidi ya wale wa autopsy imeongezeka mara dufu ...

Ndilo kundi muhimu tena linalofanya kazi kwenye mazingira magumu na kipato kidogo. Heshima kubwa sana kwenu madaktari wote.
 
Very sad kakatisha maisha hivi hivi bora angelima bustani ya mchicha kuliko kubeba madawa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums

huyo pichani ni yule mwanamuziki wetu aliyedanja south mabweha....!
 
This is more than danger!!!!!!!!!!!!!!!
A man died aboard an airplane in flight. As it turned out due to an overdose of cocaine located in her stomach. The mail was a "drug mules" who swallowed cocaine capsules before the flight. Doctors said one of the capsules of cocaine in the stomach exploded and killed him.

Keep away with this type of photography for people who are sensitive or otherwise interfere with its moral or ethical. Not recommended for those people who have heart disease.

article-1266586114833-08591596000005DC-892982_636x742.jpg



article-1342417-0291BED80000044D-477_468x351.jpg


tumblr_lrodusuaKA1qzu4e6o1_500.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs1.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs2.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs3.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs4.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs5.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs6.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs7.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs8.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs9.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs10.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs11.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs12.jpg
​
 
Inatisha sana. Lkn nani anasikia jamani sasa naamini kweli sikio la kufa halisikii dawa.
 
Sasa wametoa ya nini wakati keshakufa na ni ya kuteketeza? Wangemzika nayo iwe ndiyo kwaheri....Duu

Wazike pesa subutuuu.... wakimzika nazo wajanja wanamfukua wanayatoa weeeee.... Kuna watu wana roho pacha!!!!!
 
I am not sure kama huyo jamaa ni mbongo ila ni lazima tutambue kwamba madawa ya kulevya yanaumiza sana vijana na maskini huku wenye pesa wakitanua

Kwa upande wa nchi yangu Tanzania, kama tutaendelea kuwaacha wauza unga wakubwa na kuendelea kusikitikia hizi picha tutakua hatuna maana... tatizo linakuja ni nini kifanyike kuondoa haya??

  • Binafsi naamini serikali iliyopo madarakani imeshindwa kazi, utawala wa sheria umekufa, imebaki sheria ya utawala...
  • So far katika miaka mitatu iliyopita sijawahi kusikia mtu kweli maefungwa kwa madawa, unless ni wale wa kete mbili za bange... hii ni dalili mbaya
  • kuhusishwa kwa watoto wa wakubwa kwenye madawa ni mbaya zaidi, this put the integrity of our leader into question... unforgivable sin to many
  • Sioni wanasiasa wa leo (CCM na upinzani) wakiaddress really social challenges, naona nguvu zao nyingi zipo kwenye malumbano, mashindano na perepete... i hope tutabadilika
  • tupige risasi walinzi wa amani wanaofacilitate madawa, tuanze na wal;e waliokua zamu siku masogange anavuka
 
Forensic toxicology!!!! wapi mzee wa Y incision. Swali la kwanza linakuwa " what is the cause of death?" hapana chezea kabisaaaa.
 
Hivi huyo Azzan ndio yule aliye enda Jkt na Zitto Zuberi?
 
hii inaogopesha..
madaktari na wabarkiwe
 
Mhuuuu!!! Sasa jamani, nadhani zile za laparatomy ziondoe tu kiongozi. Tuonyese mwili wa marehemu, picha za hayo maduke kabla hayajatolwa na yameshatolewa. Ile ya kati kati hapana mkuu!!!.
 
A man died aboard an airplane in flight. As it turned out due to an overdose of cocaine located in her stomach. The mail was a "drug mules" who swallowed cocaine capsules before the flight. Doctors said one of the capsules of cocaine in the stomach exploded and killed him.

Keep away with this type of photography for people who are sensitive or otherwise interfere with its moral or ethical. Not recommended for those people who have heart disease.

article-1266586114833-08591596000005DC-892982_636x742.jpg



article-1342417-0291BED80000044D-477_468x351.jpg


tumblr_lrodusuaKA1qzu4e6o1_500.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs1.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs2.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs3.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs4.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs5.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs6.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs7.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs8.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs9.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs10.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs11.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs12.jpg
​

mtu mweusi mwenzetu huyu jamani ,sisi wafrica kwa nini tutumike kama mapunda wa wakubwa
 
MADAWA.jpg


Hii ni picha ya X-ray inayoonesha ndani ya tumbo la "punda" aliyebeba kete zenye madawa ya kulevya. Hivi ndivyo huwa mambo yanavyokuwa ndani ya tumbo la "punda" hawa.


miss.jpg


Kutokana na sababu mbalimbali madawa ya kulevya yanaweza kuathiri baadhi ya sehemu za mwili na kusababisha "punda" kupoteza hata maisha yake. Hii scan ilichukuliwa kutoka kwa "punda" mmoja wa Ireland aliyekuwa anasafirisha kwa tumbo lake kilo moja ya cocaine kutoka Brazil kwenda Ureno.

miss.jpg


Hapo mwili wa "punda" mweusi aliyefariki ukipasuliwa tayari kuyaondoa madawa hayo yaliyosababisha kifo chake. Sijajua huyu "punda" ni raia wa nchi gani na alikuwa anafanyiwa huo upasuaji nchi gani.


miss.jpg


Upasuaji wa mwili wa "punda" aliyefariki ukiendelea.


miss.jpg


Upasuaji bado ukiendelea.


miss.jpg


Hapo ni baada ya utumbo kutolewa nje tayari kuanza kuyatoa madawa hao.



miss.jpg


Madawa hayo yakiwa ndani ya utumbo mpana wa punda huyo.


miss.jpg


Keti zenye madawa ya kulevya zikitolewa kwenye utumbo na kusafishwa.


miss.jpg


Baada ya utumbo kuchanwa ili kutoa kete zenye madawa ya kulevya.


miss.jpg


Hizi ni kete zenye madawa hayo zilozomezwa na "punda" tayari kabisa kwa kuyasafirisha kwenda sehemu husika lakini akafafariki.

Chanzo: HATARII....HIVI NDIVYO MADAWA YA KULEVYA YANAYOKUWA TUMBONI KWA MTU ALIYEYAMEZA...!!! - GUMZO LA JIJI
 
Back
Top Bottom