Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Dotworld

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2011
Posts
4,035
Reaction score
3,784
A man died aboard an airplane in flight. As it turned out due to an overdose of cocaine located in her stomach. The mail was a "drug mules" who swallowed cocaine capsules before the flight. Doctors said one of the capsules of cocaine in the stomach exploded and killed him.

Keep away with this type of photography for people who are sensitive or otherwise interfere with its moral or ethical. Not recommended for those people who have heart disease.

article-1266586114833-08591596000005DC-892982_636x742.jpg



article-1342417-0291BED80000044D-477_468x351.jpg


tumblr_lrodusuaKA1qzu4e6o1_500.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs1.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs2.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs3.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs4.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs5.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs6.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs7.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs8.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs9.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs10.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs11.jpg


Exploit%20your%20stomach%20by%20drugs12.jpg
​
 
From now onwards sili tena kitu kinachoitwa utumbo. Umenijengea picha mbaya sana nikikumbuka ile supu ya utumbo ninayobugia pale kwa Mangi kila asubuhi na jioni. Duh!
 
kwa hali hii nife tu masikini!! na izo picha zimenitia kichefuchefu mpaka nimelamba ndimu!!
 
Baada ya kuangalia hz pcha na ile video yake, heshima yangu na adabu kwa madaktari na waugumy na zaidi ya wale wa autopsy imeongezeka mara dufu ...
Heshima kwa madaktari jamani. Mh! Inatisha, utafikiria unatoa utumbo wa kuku umpike.

Wale ambao kutwa mnatukana hii profession bado hayajawakuta.

Watanzania Mungu atuondolee hili pepo la madawa ya kulevya. Tulikatae wote na kulikemea ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareth.

Queen Esther
 
Very!
Vijana wanaambiwa wasishawishike katika kubeba / kumeza kwa ajili ya kusafirisha hawasikii.
Anyway, ndio madhara yake haya.

Naona sasa hivi wamebuni njia nyingine ya kubeba kwenye viroba ambayo kwao inawarahisishia na shehena inakuwa kubwa zaidi.
 
From now onwards sili tena kitu kinachoitwa utumbo. Umenijengea picha mbaya sana nikikumbuka ile supu ya utumbo ninayobugia pale kwa Mangi kila asubuhi na jioni. Duh!

Nipo hapa Kenny Garden nakunywa supu ya ulimi...

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
From now onwards sili tena kitu kinachoitwa utumbo. Umenijengea picha mbaya sana nikikumbuka ile supu ya utumbo ninayobugia pale kwa Mangi kila asubuhi na jioni. Duh!

very tishable indeed.
 
mzee hiyo laparotomy hatari....maisha hayana shortcut...wataisha namna hiyo...
 
Very sad kakatisha maisha hivi hivi bora angelima bustani ya mchicha kuliko kubeba madawa

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
inatisha na kuogopesha sana. hawa watu wana hatarisha sana maisha yao kwa kubeba vitu haramu vinavyopoteza maisha ya watu. aisee haingii akilini hata kidogo. Mungu tuonyeshe njia dhidi ya hili janga la Dunia. Yaani kama Ng'ombe, maini kule, utumbo huku, firigisi pale. ndo leo nimeona maini ya binadamu inatisha kw kweli.
 
Idd Azzan
Joe Kusaga
Kinje Ngombale Mwiru
Ridhiwani Kikwete
Nk........

Fanyeni la maana muwatume watoto nao wameze hivi vidonge tuone itakuwaje?
 
Back
Top Bottom