Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Wangekuwa wanaangalia hizi picha wasingefanya kitendo hiki, ni dalili ya kukata tamaa, I believe mafanikio yapo tu kama utaamua kufanya kazi. Unaju mdau EMT maisha yanakuwa magumu kwa watu wengi kwa kuwa wanajifananisha na wengine bila kuangalia yule anajifananisha nae ana miaka mingapi kwenye game pia profile yake ikoje. Kama mtu atajiangalia kwanza yeye na vyanzo vyake vya mapatio hizi tamaa za kutaka mafanikio kwa haraka zitaiondoka. Nilichojifunza vijana wengi wanahangaika wapate hela ila matunda ya juhudi zao yaonekane kwa watu wengine waliowazunguuka na ndio maana mtu anaweza kuonekana yupo financially stable for 4 years alafu baadae unakuta kafulia kumbe ela yake ali-invest kwenye vitu ambavyo vinamwonyesha kwa haraka na pindi hela inapokata na yeye umaarufu wake unaisha. MAISHA SIKU ZOTE NI RIDHIKO LA NAFSI
 
Last edited by a moderator:
Duh!! Siku hizi binaadamu anaitwa punda!! Hizi picha nilizikimbia jana,leo tena umeniletea aaaaagh!!! Naskia kichefuchefu
 
.....

....Dhuh!!! VIP kama lango la kuzimu..........................
 
Doo kweli inatisha huu upunda kweli ni balaa aisee..
 
Mkuu EMT inatisha na haya mafanikio ya kuyatafuta kwa njia hii ni balaa kabisa na hatari ambayo kwa kweli ni balaa. Na hii yote ni kutaka maisha ya haraka haraka bila kutoa kasho jingi au kuvumilia kwa muda mrefu. Vijana hawa wamatumika tuu bila kujijua na bila kujua madhara yaliyo mbele yao. Unapoteza maisha aliyekutuma upeleke mzigo ukishafariki anatafuta punda mwingine kufanya kazi yake kwa ujira ambao haulingani na thamani ya maisha yako.
 
Last edited by a moderator:
Kila biashara ina faida na hasara.

Kwenye uchumi wa kibepari na michanganyiko, faida kubwa na ya haraka inapatikana kwenye biashara zenye risk kubwa.

Pamoja na kwamba watu wenye hekima na busara wanasema Crime doesn't pay lakini hakuhitaji utalaamu wa rocket science kujua kwa nini watu wanaweza kuchukua risk zote hizo kwa ajiri ya kutaka kuwa loaded. Usiniambie money is not everything.

Huwezi kutajirika kama wewe siyo mbinafsi. Huu ndiyo msingi mkuu wa ubepari na uchumi mchanganyiko.

Ubinafsi ni pamoja na kujijari wewe mwenyewe bila kujari athari inayotokea kutokana na ubinafsi wako.

Binadamu wote siyo sawa na hata dunia siyo moja achilia mbali Tanzania.
 
Duh!! Siku hizi binaadamu anaitwa punda!! Hizi picha nilizikimbia jana,leo tena umeniletea aaaaagh!!! Naskia kichefuchefu

Punda si anabeba mizigo?? Kwa hawa wakiitwa "punda" hakuna ubaya mkuu.
 
Wanaomiliki "punda" hawa ndo wanaoongoza serikali
 
Hatari sana!!

Hivi baada ya kutoka kwenye huo utumbo kuna watu wanaenda kuyatumia kabisaaaa!!!????hayana harufu ya ------!!!!!????
 
Duh!! Siku hizi binaadamu anaitwa punda!! Hizi picha nilizikimbia jana,leo tena umeniletea aaaaagh!!! Naskia kichefuchefu

Hawa carriers wa madawa ya kulevya wanaitwa MULES kwa lugha yao ikiwa na maana ya PUNDA
 
Mtaalamu naomba kuuliza swali moja dogo la nyongeza , eti humo tumboni wanaziingiza kwa njia gani ?
 
Huu uzi ulikuwepo jana. Inatisha lakini huo ndio hali halisi
 
Kuna mijitu kwenye thread kama hizi huwa haichangii ila zikianzishwa thread za kutukana Dr Slaa na Chadema utaiona imepanga foleni kuchangia..shame on them all!!
 
Tunalaani wanao waharibu vijana wenzetu kwa madawa ya kulevya na ingekuwa bora wasiishi watu wa aina hiyo!!
 
Jamani jamani jamani! CCM hebu acheni haya mambo, hata kama ni ujasiriamali mnaowafundisha hawa punda(GREENGUARD) wenu, hii inatisha mnazidi kuliangamiza taifa kwa kupoteza vijana hawa ambao ndio tegemeo kama nguvu kazi ya taifa.
 
Kuna mijitu kwenye thread kama hizi huwa haichangii ila zikianzishwa thread za kutukana Dr Slaa na Chadema utaiona imepanga foleni kuchangia..shame on them all!!

Riz moko and the co..hawawez kuchangia mkuu mana wengne hz dili ndo mpango mzma kwao,bt itajulikana hakuna marefu yasio na ncha.
 
Back
Top Bottom