Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

Picha - Athari za kubeba madawa ya kulevya - (drug mules)

nina video moja yaan ni hatar na inatisha ilitokea mbeya
 
duh inatisha sana laiti angepata nafasi ya kuamka akaona jinsi utumbo wake ulivyokatwa katwa
 
Mambo ya kina Jack Cliff hayo. Kwa kweli mimi sina huruma na hawa watu wanaojikita katika hii biashara. Wamejitakia wenyewe kuweka maisha yao rehani. Jack alikuwa anawarubuni wenzake kuingia kwenye hilii gemu, sasa yuko ananyea ndoo ila watu bado hawataki kuacha, why feel sorry for them?
 
Ajali kazini hiyo. Sasa mnategemea vijana tufanye kazi gani?...tukienda maofisini kuna vimemo..tukianzisha biashara wagambo hao..ukienda kuomba mkopo unaambiwa huna assets..sasa mnataka vijana tufanyeje?....wengi mnaokandia 'MULES' humu mna vi ajira vyenu vya vimemo...In short ni kwamba vijana tumeshachoka tumeshagive up na life...
Du.. Hatare
 
Du.. Hatare

Ni hatari lakini mkuu....unafikiri maisha yatakuwaje...??
Imagine huna ajira then ukajidunduliza ukafungua kibanda chako cha chipsi una amka asubuhi unakuta kimevunjwa na watu wa jiji..unasema poa unapata I dea ya biashara nyingine kubwa unaaenda kuomba mkopo benk unaambia haukopesheki.....
Na kijana una matumizi na watu kibao wanakutegemea.....unafikiri nini kitatokea.....katika mazingira kama hayo....?
 
That is not fair. Do not encourage the youth to become drug mules. Mwogope Mungu. Hivi mtu unaona raha gani kuwa tajiri kwa kuwafanya wenzako na watoto wa ndugu zako mataahira? Tafakari.
 
Back
Top Bottom