Fitinamwiko
JF-Expert Member
- Aug 13, 2012
- 4,803
- 1,419
Lzima tupate pesa za uchaguzi 2015, Richmond na EPA hazitoshi kabisaaaa.
niliwahi kula trupa ya kuku hapo balaa,Nipo hapa Kenny Garden nakunywa supu ya ulimi...
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
umelamba ndimu? Hiyo itakuwa mimbakwa hali hii nife tu masikini!! na izo picha zimenitia kichefuchefu mpaka nimelamba ndimu!!
So sad. Kumbe PICHA hufundisha zaidi. Naona watu wamekereka hata kufikia kulamba ndimu. Hiyo ndiyo kizazi cha money by any means!
Hivi idd azan bado yuko uraiani?
Idd Azzan
Joe Kusaga
Kinje Ngombale Mwiru
Ridhiwani Kikwete
Nk........
Fanyeni la maana muwatume watoto nao wameze hivi vidonge tuone itakuwaje?
A man died aboard an airplane in flight. As it turned out due to an overdose of cocaine located in her stomach. The mail was a "drug mules" who swallowed cocaine capsules before the flight. Doctors said one of the capsules of cocaine in the stomach exploded and killed him.
Keep away with this type of photography for people who are sensitive or otherwise interfere with its moral or ethical. Not recommended for those people who have heart disease.
![]()
![]()
![]()
![]()
idi azan una raha sana sasa. but soon mbele ya allah utajibu haya maswahibu