karanga makoga
Member
- May 24, 2015
- 23
- 1
Unatishika na umati huo pole tutaona mnamo tar.25
chama cha kigoma. Zitto angetumia nguvu hizi anazotumia sasa kule kigoma wakati akiwa naibu katibu mkuu wa chama. cdm ingekuwa mbali sana kigoma.
Mkuu kauli hiyo ilitolewa na nani? Huo umati usikutishe sana.....hahaaaaahaaaaa
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.
ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.
Zitto aliisha waambia anayetaka kurudi BUNGENI ajiunge ACT vinginevyo atafute kazi ya kufanya mapema
Nasikia hao watu wote ni Chadema nasikia wamemzomea sana alivyoitaja Chadema.View attachment 260877View attachment 260879View attachment 260880
act ndani ya kasulu leo, uwanja umetapika na wananchi wamecheua nyomi la kufa mtu
Upo kishabiki Sana....tueleze ni kwanini wabunge hao warudi act?
Mkuu, mbona chadema inashikasana kanda ya kaskazini hasa arusha na moshi lakini makao makuu yapo ufipa?? Kwa utafiti wa haraka haraka, wakazi wa ufipa wote huwa wanaichagua ccm katika chaguzi zote.Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!
Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!
Leo kwa masikio yangu nimemsikia Zitto akisema ACT ni chama cha WAHA na wanakigoma,alisema nani kasema tumbo la mama wa kiha haliwezi kuzaa kiongozi wa chama na eti azae manamba tu wa kuwatumikia watu,Amerudia kauli yake anaetaka kuwa mbunge mkoa wa Kigoma kwenye majimbo yote ahamie ACT, Jinsi niwajuavyo hawa jamaa hawana msimamo kwenye mambo ya siasa ACT inaweza isipate mbunge hata mmoja Kigoma hii,Amerudia kusema ukawa ni kazi yao kugawana madaraka tu hataweza isaidia hii nchi
Kwa kigoma itakuwa Wabunge hawa wa NCCR na ACT; Chadema haitakuwa na impact Kigoma.