Mkuu kauli hiyo ilitolewa na nani? Huo umati usikutishe sana.....hahaaaaahaaaaa
Haya chadema watakuja na matusi hapa
Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!
Matahira kweli ninyi na huyo kwani cdm ndio yenye serikali?
Mkuu matusi ya nini......taratibu Mkuu....hoja kwa hoja