Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Nw imekuwa cdm vs act....kuna uwezekano mkubwa majimbo hay a kurudi ccm ila jumbo LA kafurila haweweza kulichukua Nina 100%.

Kwa kigoma itakuwa Wabunge hawa wa NCCR na ACT; Chadema haitakuwa na impact Kigoma.
 
Leo kwa masikio yangu nimemsikia Zitto akisema ACT ni chama cha WAHA na wanakigoma,alisema nani kasema tumbo la mama wa kiha haliwezi kuzaa kiongozi wa chama na eti azae manamba tu wa kuwatumikia watu,Amerudia kauli yake anaetaka kuwa mbunge mkoa wa Kigoma kwenye majimbo yote ahamie ACT, Jinsi niwajuavyo hawa jamaa hawana msimamo kwenye mambo ya siasa ACT inaweza isipate mbunge hata mmoja Kigoma hii,Amerudia kusema ukawa ni kazi yao kugawana madaraka tu hataweza isaidia hii nchi
 
Toooo looooow
 
duuh.mmetisha wazalendo kweli hapa ndo mtaj ulip..keep t up viongoz na wana KG ni destur yetu kusifia chema
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.

ACT ilikwisha tuma maombi kujiunga ukawa, ila kwa waliohodhi ukawa waligoma kwa migogoro yao binafsi pasna kuangalia maslah mapana ya taifa!
 
chama cha kigoma. Zitto angetumia nguvu hizi anazotumia sasa kule kigoma wakati akiwa naibu katibu mkuu wa chama. cdm ingekuwa mbali sana kigoma.
 
Kafulila, machali na mkosamali waangalie upya mstakabali wao kisiasa .
Kwani ujio wa act ni tishio kwa msitakabali wa nafasi zao.
Hawajachelewa wanaweza kuwahi nafasi act wazalendo il I kuungana na wazalendo kurudisha nchi kwenye msingi.
 
Leo kwa masikio yangu nimemsikia Zitto akisema ACT ni chama cha WAHA na wanakigoma,alisema nani kasema tumbo la mama wa kiha haliwezi kuzaa kiongozi wa chama na eti azae manamba tu wa kuwatumikia watu,Amerudia kauli yake anaetaka kuwa mbunge mkoa wa Kigoma kwenye majimbo yote ahamie ACT, Jinsi niwajuavyo hawa jamaa hawana msimamo kwenye mambo ya siasa ACT inaweza isipate mbunge hata mmoja Kigoma hii,Amerudia kusema ukawa ni kazi yao kugawana madaraka tu hataweza isaidia hii nchi

Kama uliirekodi hotuba, weka reply skiliza upya czan km ulimwelewa vyema#

Nafkr n muda sasa wa cc km taifa kutanguliza maslah ya taifa mbele, kuliko ya kikundi acha kuendeshwa na misukumo# rudia upya hotuba uielewe
 
Kafulila, machali na mkosamali waangalie upya mstakabali wao kisiasa .
Kwani ujio wa act ni tishio kwa msitakabali wa nafasi zao.
Hawajachelewa wanaweza kuwahi nafasi act wazalendo il I kuungana na wazalendo kurudisha nchi kwenye msingi.

wakiingia rasmi watakuwa wamewarahisishia wapinzani wa act kuhalalisha kwamba ni chama cha kigoma
 
Amerudia kauli yake anaetaka kuwa mbunge mkoa wa Kigoma kwenye majimbo yote ahamie ACT, Jinsi niwajuavyo hawa jamaa hawana msimamo kwenye mambo ya siasa ACT inaweza isipate mbunge hata mmoja Kigoma hii

Kuna mkoa Tanganyika wenye misimamo kisiasa kuliko Kigoma?

Kigoma ndio mkoa wa kwanza kuchagua mbunge wa upinzani.

Kigoma ndio mkoa pekee ambayo CCM ina wabunge wachache.

Sasa kama Kigoma hawana misimamo basi una maana hakuna mkoa Tanganyika wenye misimamo kwani Kigoma ndio inaongoza.
 
Back
Top Bottom