Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,152
- 10,683
Naona ile kauli inayosema kwamba kama unataka kurudi bungeni ni lazima ujiunge na ACT inaukweli.
This is funny....
Kweli IQ kimo cha mbuzi ni shida
Naona ile kauli inayosema kwamba kama unataka kurudi bungeni ni lazima ujiunge na ACT inaukweli.
Unaongea usingizini ndugu si wamwandiga huyo tenaZzk akitaka aendelee kusikika kwenye siasa za tanzania labda aombe udiwani mwandiga
Unaongea usingizini ndugu si wamwandiga huyo tena
This is funny....
Kweli IQ kimo cha mbuzi ni shida
Pamoja sana MABADILIKO NI SASA
Kweli ndugu wengi wapo ki mkumbo mkumbotu na humu wapo kiashabiki kuwa akiposti kumpinga zitto ataungwa mkono ila ukweli anao moyoni huo ni utumwa wa fikra
Kwamanufaa yawatu wetu, nanchi yetu, mabadiliko ndo sasaaa, kijana kwenu hakuwezi kuwa na umende kwani mnaishi msituni!!Bahati mzuri mimi kwetu hakukuwa na umande,imba wewe
A.C.T inaenda kuchukua dola
Hiki ndio chama cha ukombozi wa kweli
Hahaa Taifa langu mie,chama changu mie, uzalendo wangu, na chama changu.... pamoja ACT
ngoja tusubirii baada ya bunge la bajeti kuishaa
Omba uzima japo mmesha anza kuongeza ID mpyaItabidi alazimishe mwandiga maana hakuna atakapo ambulia huo udiwani zaidi ya mwandiga
Acha uongo....
Unasikia!!!!
Joinder of couses of actionNakuhurumia sana
Vifuata upepo kimyaa Mmawia vipi upo najua hata Chademakwanza kaanza kushtuka UZALENDO WETUU,TAIFA LETU hahaaa ni KWAMANUFAA YA WATUWOTE team wazalendo
Kama wanaitaji ukomboz powaKweli ukombozi wa wana mwandiga na manyovu