Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Mkuu kwa mujib wa ole sigala nyoko huenda ikawa sifa kwa muktadha wa uzi huu
 
inawezekana kukawa na ukweli ndani yake.

Lakini kwanini Kama zzt anaushawishi mkubwa huko alishindwa kuisaidia chadema kupata wabunge wengi kutoka huko?

Kigoma ndio imetoa Wabunge wengi wa upinzani mwaka 2010. Na wabunge hao ni matunda ya Chadema waliokimbilia NCCR kutokana na matatizo ya ndani ya Chadema.Hivyo hilo sio kosa la Zitto bali la uongozi wa Chadema kuwaona kuwafukuza wengine wao hao.
 
ukweli ndugu zangu chadema matusi yanaharibu hadhi ya chama,jenga hoja unapochangia ,tunakuwa na mtindio wa ubongo,chang

Ukiwa na elimu ndogo ya kujenga hoja Mara utakimbilia lugha chafu. Kuwapuuza tu.
 
Vifuata upepo kimyaa Mmawia vipi upo najua hata Chademakwanza kaanza kushtuka UZALENDO WETUU,TAIFA LETU hahaaa ni KWAMANUFAA YA WATUWOTE team wazalendo
 
Last edited by a moderator:
Mm nilikuwepo ila baadhi walikuwa wanamuchora siku akirudi ni mawe tena kama bukoba.
 
Mkuu, mbona chadema inashikasana kanda ya kaskazini hasa arusha na moshi lakini makao makuu yapo ufipa?? Kwa utafiti wa haraka haraka, wakazi wa ufipa wote huwa wanaichagua ccm katika chaguzi zote.
Pamoja sana MABADILIKO NI SASA
 
Hahaa Taifa langu mie,chama changu mie, uzalendo wangu, na chama changu.... pamoja ACT
 
Ni ...OF SEM II 2015 EXAM FINAL TIME TABLE UNDERGRADUATENina shaka upinzani wako. Ukiwa na akili nzuri huwez mzomea Zitto hata siku moja.
Kweli ndugu wengi wapo ki mkumbo mkumbotu na humu wapo kiashabiki kuwa akiposti kumpinga zitto ataungwa mkono ila ukweli anao moyoni huo ni utumwa wa fikra
 
Back
Top Bottom