Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

ukiacha wafaidika wa ACT wote wanaosapoti ACT hawana upeo makini chunguza.
 
Kigoma ndio imetoa Wabunge wengi wa upinzani mwaka 2010. Na wabunge hao ni matunda ya Chadema waliokimbilia NCCR kutokana na matatizo ya ndani ya Chadema.Hivyo hilo sio kosa la Zitto bali la uongozi wa Chadema kuwaona kuwafukuza wengine wao hao.

Cdm ni taasisi kubwa sana kwa sasa hapa nchini Tanzania,hivyo kuilinganisha na hicho li saccos chenu ni kuivunjia heshima sana,muwe na adabu.
 
mbowe aliwah kusema# cuf n ccm B, waliwah kuwaita mashoga, mbatia aliwah itwa kibaraka!
Aya unayazungmziaje mkuu###

Hao woote ulio wataja walipotea njia sasa wametambua na kujirudi hivyo ni wapinzani wa kweli,siyo ccm b kama act
 
Nani wa kujiunga na ACT chama cha maigizo kisicho na sera,ujamaa na kujitegemea mmeiga kwa Nyerere,azimio la Tabora mmeiga kwa Nyerere,kauli mbiu ya uzalendo mmeiga kwa Nyerere,operation majimaji mmeiga kwa Kinjekitile kila kitu ni maigizo,mwisho mtakuja kufukua na misukule ya kuwamaliza wenyewe.

Kweli mkuu hawa jamaa kama mabingwa wa mipasho fulani.
 

Attachments

  • 1434490929117.jpg
    1434490929117.jpg
    70 KB · Views: 57
Back
Top Bottom