Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Picha: ACT-Wazalendo Kasulu Mjini leo

Daaah hapo nimeamini ile kauli kuwa bwana wa nccr lzma aingie act tu zitto ni nyoko

Mkuu nyoko ina maana gani kwenye muktadha wa uzi huu...tudadavulie
 
Makao Makuu ya ACT si yangekuwa hukohuko Kasulu na Kigoma, maana Chama hiki kimekaa kiKasulukasulu na kiKigomakigoma!!!!!

Mbona chadema makao makuu hayako Tarangire huko ARUSHA....
 
IMG-20150616-WA0052.jpg IMG-20150616-WA0050.jpg IMG-20150616-WA0051.jpg

act ndani ya kasulu leo, uwanja umetapika na wananchi wamecheua nyomi la kufa mtu
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.
 
Lazima nchi irudi katika misingi iliyo hasisiwa
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.

Mkuu hakuna njia nyingine zaidi ya hao wabunge kujiunga na ACT wazalendo.
 
Kiukweli zitto kiboko ya chadema lazima atawalaza nje mapema kabisa.
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.
Wale wabunge wa sasa wote watahamia ACT.
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.

Mkuu umeongea jambo la mbolea.....
 
Ili majimbo ya Kigoma vyama vya upinxani visigawane kura na kuifanya CCM ishinde kuna umuhimu wa ushirikiano.

ACT na wabunge waliopo sasa waangalie namna ya kushirikiana.

Nw imekuwa cdm vs act....kuna uwezekano mkubwa majimbo hay a kurudi ccm ila jumbo LA kafurila haweweza kulichukua Nina 100%.
 
Back
Top Bottom