Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,521
- 96,268
vyovyote ila mabadiliko ndo sasa
Hivi diwani wa mwandiga ni kutoka chama gani vile?
vyovyote ila mabadiliko ndo sasa
Unatakiwa upate Uzalendo kijana wakati ndio huu
Kama wanaitaji ukomboz powa
Chuki mbaya
ukiacha wafaidika wa ACT wote wanaosapoti ACT hawana upeo makini chunguza.
Confute your impetinence
Ni kweli Ana umati lakini anafanana na anachokizungumza.....anasema anafuata "unyerere" nilini alishasema hoja zake za masuala ya kitaifa zinatokana na "sisi"? Kila alilofanya hua anasema "mimi"....ni lini Nyerere alisema "mimi" ktk masuala ya kitaifa? Unyerere siyo "kauli" ni filosofia yanye msingi wa umoja.... umimi wa Zitto ni dhahiri
Kweli tupu mkuu
Mkuu kwa mujib wa ole sigala nyoko huenda ikawa sifa kwa muktadha wa uzi huu
Mbona TBC wamemesusa kurusha mikutano ya raundi ya 2?