Picha: Acheni utani, Wema mrembo bhana.

For sure! I adore her. Sema mambo mengi ila she is naturally beautiful, haswa kama ajaweka makeup namawigi yake. Ndo anavutia. Pia akiva ushungi ndo nampenda zaidi
yetoo.jpg
wemast.jpg
wacha uongo
 
Nishawai muona huyu dada, ni mzuri kiukwel...mrefu...ana mvuto aisee ila ndo kizuri hakikosi kasoro
 
Naona kila star wa bongo huwa anachagua jina la mnyama kujiita.. Tumeona mzee wa sembe akijiita Mnyama... Mara mwingine mamba.. Ikaenda kwa simbaaa, Sasa huyu she deserve to be called NYUMBU!! ana sifa zote za Unyumbu nyumbu flani hivi ameizing!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom