Picha: Acheni utani, Wema mrembo bhana.

Picha: Acheni utani, Wema mrembo bhana.

Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli
07f0e447f7eedfc200be85d8c3bd6029.jpg
Ni baada ya kuhamia chama la wasomi
 
For sure! I adore her. Sema mambo mengi ila she is naturally beautiful, haswa kama ajaweka makeup namawigi yake. Ndo anavutia. Pia akiva ushungi ndo nampenda zaidi

Nasikia anapuliza, pia aache makitu yaliyomfikisha kwa Mkemia Mkuu.
 
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli
07f0e447f7eedfc200be85d8c3bd6029.jpg
Huwa napata wakati mgumu kweli kujua u binadamu wa aina gani. Yani ndani ya mwezi huu tu Wema kaoga "matusi" kutoka kwako na hapo hao leo anasifiwa kwa kila herufi.
11cf145610278cda632efe698bd221b2.jpg

Issue ya Masogange, Uwoya amlipua Wema
 
Hivi wewe baba au mama ako akikutukana au kukupiga ukikosea ina maana hakupendi au anakuchukia? That's who I am, ukikosea nakupa makavu it doesn't mean nakuchukia, sinaga ushabiki mavi Mimi mtu yeyote ukizingua unakula mitusi
 
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli
07f0e447f7eedfc200be85d8c3bd6029.jpg
Kwa uzuri gani sasa?? Kuvaa kishudu kichwani na gauni la Harusi?
 
Ni kweli mkuu ukiplus na 360 pixel[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Huyu msichana mrembo jamani, yani hachoshi kumuangalia, anavutia kila sehemu kwa kweli, ila ndo kama walivyosema wahenga kizuri hakikoi kasoro, ila kwa urembo tu madam nimekuvulia kofia, wewe ni untouchable, zari anasubiri,mtoto unawaka kila idara, mama ako alizaa kwa kweli, mwache ajishebedue na akina steve kwa kweli
07f0e447f7eedfc200be85d8c3bd6029.jpg
muoe
 
Mku picha za ku edit hizo,umeona miguu yake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom