Je, kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na wababe wa soka Al Ahly, Mamelodi, na Wydad?

Labani og

JF-Expert Member
Sep 15, 2020
15,776
24,211
Salaam Wana JF 5

Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa Super League.

Je, kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa? Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa Super League, lakini hakuna point hata moja aliyovuna (alikuwa msindikizaji).

Yanga kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania Tuzo ya Timu Bora Africa; Al Ahly, Mamelodi, Wydad, USM Alger na Yanga.

NB: Kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na hawa vibopa wa soka?

1700233028195.jpg
 
Kuna mwendo mkubwa sana kuzifikia hizo team hapo,
Hatupo level zao, wenzetu wana mataji lukuki ya Africa sisi hatuna hata confederation cup hatuna, bado safari ni ndefu mkuu, tusijipe moyo ovyo
 
Salaam Wana jf 5

Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine Kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani especially Baada ya kuanzishwa Kwa Africa super league

Swali
Je kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa
.....Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa super league....lkn hakuna point hata moja aliyovuna ( alikuwa msindikizaji

Yanga Kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania tuzo ya timu Bora Africa Al ahly mamelodi, wydad USM Alger na Yanga

NB: nani anafaa kukaa meza Moja na hawa vibopa wa soka.....kati ya simba na yangaView attachment 2817743
Jitahidi unapo leta mada na unapotaka watu wachangie usiingize ushabiki otherwise ungetoa maoni tu na sio kutaka mitazamo ya watu wengine be neutral if you want to hear both sides otherwise you're guilty.
 
Mfano mwanafunzi ambaye meshafauli mtihani na kila mtu anajua matokeo. Na Mwanafunzi anaejiandaa lakini kutokana na mitihani ya maandalizi kila mtu anatumaini kuwa atafanya vizuri zaidi ya yule ambaye alishafaulu.
 
Salaam Wana JF 5

Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa Super League.

Je, kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa? Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa Super League, lakini hakuna point hata moja aliyovuna (alikuwa msindikizaji).

Yanga kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania Tuzo ya Timu Bora Africa; Al Ahly, Mamelodi, Wydad, USM Alger na Yanga.

NB: Kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na hawa vibopa wa soka?

Aahaaaa
 
Kuna mwendo mkubwa sana kuzifikia hizo team hapo,
Hatupo level zao, wenzetu wana mataji lukuki ya Africa sisi hatuna hata confederation cup hatuna, bado safari ni ndefu mkuu, tusijipe moyo ovyo
So tuendelee kujitafuta
 
Jitahidi unapo leta mada na unapotaka watu wachangie usiingize ushabiki otherwise ungetoa maoni tu na sio kutaka mitazamo ya watu wengine be neutral if you want to hear both sides otherwise you're guilty.
Sawa mkuu
 
Baada ya kutoa ushauri, utoe maoni yako sasa!

Binafsi naamini Yanga 💛💚✋ ndiye anayestahili.

Na wewe je?
 
Tusubirie mechi ya al ahly kwanza natunza comment yangu.
Na yeye atakipitia tu kile kikombe mlichopitia nyinyi. Maana hakuna namna nyingine.

Ili watu kama nyinyi muweze kuamini ya kwamba Yanga kwa sasa ni timu kubwa, ni lazima iwafunge kwanza nyinyi wenyewe goli za kutosha! Na hao wababe wenu.
 
Salaam Wana JF 5

Kwa mwaka huu tumeshuhudia mpira wa Africa ukiendelea ku shine kwa ukubwa sana kiasi kwamba kuvuta attention kubwa Duniani, especially Baada ya kuanzishwa kwa Africa Super League.

Je, kati ya Simba na Yanga nani ni giant wa level za zile timu kubwa Africa? Simba yupo miongoni wa timu 8 zilizoitwa Super League, lakini hakuna point hata moja aliyovuna (alikuwa msindikizaji).

Yanga kwa mafanikio yake now yupo miongoni mwa 5 giants wanaowania Tuzo ya Timu Bora Africa; Al Ahly, Mamelodi, Wydad, USM Alger na Yanga.

NB: Kati ya Simba na Yanga nani anafaa kukaa meza moja na hawa vibopa wa soka?

Hivi wewe unajua mpira kweli? Eti simba hukuvuna point hata moja, nitajie timu iliyovuna points kwenyeyale mashindano
 
Back
Top Bottom