Photo:maafande zoezini

Photo:maafande zoezini

KANDA MBILI

Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
60
Reaction score
57
Nafikiri baadhi ya mazoezi huwa yanalenga kupunguza uwezo wa kufikiri ili kila kitu kiwe "NDIO MZEE"

maafande.jpg
 
Sasa hapo akili si zinapondeka ndio maana hawana akili,wenzao nchi zingine wakiwa na raisi mtalii kama wetu saa hizi washampindua.wao kazi yao kujifanya wazungu kila kila kitu yes sir bogus wakubwa.
 
Ndo maana kila kitu wakiambiwa ni yes sir kumbe akili zimemwagikia chini.pambaf
 
Mwezi uliopita wakati Rwanda wanaadhimisha miaka 50, walionyesha mbinu za kivita, mf kushuka kwa maparachute uwanjani nk.. Kwetu tulionysha jinsi ya kupasua mawe.
 
Picha nzuri ila ndugu KANDA MBILI nimesikitishwa na mtazamo wako...
 
Last edited by a moderator:
Mwezi uliopita wakati Rwanda wanaadhimisha miaka 50, walionyesha mbinu za kivita, mf kushuka kwa maparachute uwanjani nk.. Kwetu tulionysha jinsi ya kupasua mawe.


Maonesho hufanywa maalum kuonesha UNALOLIMUDU; inaonesha jinsi gani Tanzania tulivyofanikiwa kurudi katika UJIMA (enzi za MAWE)......
 
hayo ya kawaida tu kama ulipitia maeneo hayo ndyo inakukujenga ukakamavu uwe jeuri
 
Back
Top Bottom