Philosophy is a disease for both theists and atheists

Uhai upo katika kila hatua na ni uleule lakina lazima ufe uzaliwa upya ,ni ndiyo muunganiko wa maji,chakula,nishati na hewa unapoingia kwenye mwili unakufa unaingia kwenye kokwa unakuwa mbegu unakuwa hai ni kweli mbegu inakopa uhai kwa baba upo sawa
Je, yenyewe inakuwa imekopa uhai toka kwa baba?

Kumbuka ulisema mtoto anakopa uhai toka kwa mama
 
mbegu ikifa ikazaliwa upya ndani ya yai hukopa kama unavyosema au kuchukua uhai kwa mama,lakini awali kabla ya kifo ilitumia uhai wa baba,na ikija duniani inatumia uhai wa mazingira aliopo physical dimension
 
Upo sahihi. Lakini unaweza kuifuta hiyo dini bila kuwa na elimu ya visomo vikubwa vya philosophy. Neno dini kwa hapa nimelitumia loosely kama imani.
Dini ni kama serikali,kampuni ama taasisi na ndo jinsi ilivyo ,ukitoa kitu kinaitwa SADAKA dini zinakufa
 
Upo sahihi. Lakini unaweza kuifuta hiyo dini bila kuwa na elimu ya visomo vikubwa vya philosophy. Neno dini kwa hapa nimelitumia loosely kama imani.
Hata imani yenyewe tu inafall katika matawi ya falsafa.

Kifupi binadamu nje ya falsafa
hana tofauti na Ng'ombe, Mbuzi au Nyani

Hata ile dhana ya binadamu ndie kiongozi wa duniani bado ni falsafa.

Hata ile dhana binadamu ni bora bado ni falsafa.
 
kufa maana yake kuzaliwa upya ,ni lazima ufe ili uwe mpya katika mazingira mapya na tofauti
Ukifa umekufa hakuna Maisha mengine.

Seli za mwili wako zilizokufa ni nyingi kuliko uhai

Kwa hiyo ulikufabsehemu gani?
Ukazaliwa bongo?
 
Nani kakuambia nimezaliwa kama testtube baby?

Na kwanini bongo na sio kwingineko?

Sayansi ina discover kilichopo tu haina jipya ,utalijua hilo ukifa kama yapo au lah sio shida yangu hiyo
 
mbegu ikifa ikazaliwa upya ndani ya yai hukopa kama unavyosema au kuchukua uhai kwa mama,lakini awali kabla ya kifo ilitumia uhai wa baba,na ikija duniani inatumia uhai wa mazingira aliopo physical dimension
Kivipi?
Ile ni seli yenye uhai wake
Kile ni kiumbe chenye kichwa, kiwiliwili na Mkia.

Mambo ya kukopa hayo ni uongo usio na kichwa Wala miguu.

Yai la mwanamke nalo ni seli kumbuka mambo ya cell specialization na division.

Zinapokutana ni kumix genetics ili kiumbe kinachoitwa Human kitokee with 23 pair of chromosomes each.

Hakuna kinachokufa kwa maana mbegu ya kiume ni seli Moja na yai ni hivyo hivyo.

Hata hii Naturalism philosophy Ina matawi mawili mbona unaongelea sana Ontological na sio Methodological

Pantheist
 
Hata imani yenyewe tu inafall katika matawi ya falsafa.

Kifupi binadamu nje ya falsafa
hana tofauti na Ng'ombe, Mbuzi au Nyani

Hata ile dhana ya binadamu ndie kiongozi wa duniani bado ni falsafa.

Hata ile dhana binadamu ni bora bado ni falsafa.
Falsafa unajua imeanza lini?kazi ya falsafa ni kulisha akili yako matumaini kuwa unajitambua na una uwezo wa kudadavua na ya kuelewa mazingira ,lakini kiuhalisia ni kinyume chake
 
Kivipi?
Ile ni seli yenye uhai wake
Kile ni kiumbe chenye kichwa, kiwiliwili na Mkia.

Mambo ya kukopa hayo ni uongo usio na kichwa Wala miguu.

Yai la mwanamke nalo ni seli kumbuka mambo ya cell specialization na division.

Zinapokutana ni kumix genetics ili kiumbe kinachoitwa Human kitokee with 23 pair of chromosomes each.

Hakuna kinachokufa kwa maana mbegu ya kiume ni seli Moja na yai ni hivyo hivyo.

Hata hii Naturalism philosophy Ina matawi mawili mbona unaongelea sana Ontological na sio Methodological

Pantheist
Kwasababu napita shortcut wewe unangangania highway
 
Nani kakuambia nimezaliwa kama testtube baby?

Na kwanini bongo na sio kwingineko?

Sayansi ina discover kilichopo tu haina jipya ,utalijua hilo ukifa kama yapo au lah sio shida yangu hiyo
Kwani wewe umekufa?

Umejuaje?
Ukifa umekufa kinachokufanya uwe na conscious ni ubongo tu, siku ubongo ukizima ujue ndio bye bye.

Nani kazungumzia issue ya test tube baby?
Hata ningetaja wapi duniani haina issue ila acha kusema mtoto amekopa uhai wakati haujui biological process zinavyofanyika.

Kama hili dogo hujui, hayo mengine utayajulia wapi?
 
Kivipi?
Ile ni seli yenye uhai wake
Kile ni kiumbe chenye kichwa, kiwiliwili na Mkia.

Mambo ya kukopa hayo ni uongo usio na kichwa Wala miguu.

Yai la mwanamke nalo ni seli kumbuka mambo ya cell specialization na division.

Zinapokutana ni kumix genetics ili kiumbe kinachoitwa Human kitokee with 23 pair of chromosomes each.

Hakuna kinachokufa kwa maana mbegu ya kiume ni seli Moja na yai ni hivyo hivyo.

Hata hii Naturalism philosophy Ina matawi mawili mbona unaongelea sana Ontological na sio Methodological

Pantheist
Haya ya fundamental biology tuwaachie form 3 huko,mwanasayansi anakuambia what he sees not what it is
 
mbegu ikifa ikazaliwa upya ndani ya yai hukopa kama unavyosema au kuchukua uhai kwa mama,lakini awali kabla ya kifo ilitumia uhai wa baba,na ikija duniani inatumia uhai wa mazingira aliopo physical dimension
Mbegu ikitoka kwa baba haitumii physical dimension?

Kile ni kiumbe hai kilicho kamili sio roho ile
 
Kwani wewe umekufa?

Umejuaje?
Ukifa umekufa kinachokufanya uwe na conscious ni ubongo tu, siku ubongo ukizima ujue ndio bye bye.

Nani kazungumzia issue ya test tube baby?
Hata ningetaja wapi duniani haina issue ila acha kusema mtoto amekopa uhai wakati haujui biological process zinavyofanyika.

Kama hili dogo hujui, hayo mengine utayajulia wapi?
Siwezi kufa form yangu ndo inakufa na kubadilika ,sasa ntakufaje?ni mwili ndo unakufa sio mimi,mimi ni uwepo tu ndani ya mwili,na ubongo ndo keyboard na monitor yangu dats all
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom