vipi lile eneo alilojimegea mabwepande na mzazi mwenzake kwa kumtumia yule diwani wa chadema amerudisha?Tunataka mtu atakayetamka kutoka moyono kwamba anaichukia rushwa na tukimwangalia tukubali kweli anaichukia rushwa. Naye ni mmoja . Dr. Slaa wa ukweli.
Huwezi ukafananisha Fisadi aliyesimamia wizi wa Pesa za EPA na Mchumia tumbo Mangula na Mzalendo wa kweli Dr. Slaa. Hivyo ondoa kabisa ndoto zako za mchana kweupe.
Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo zaidi wa kiuongozi?? piga kura yako
vipi lile eneo alilojimegea mabwepande na mzazi mwenzake kwa kumtumia yule diwani wa chadema amerudisha?
Mkuu, ni kama umeuliza kati ya tembo aliyenona vizuri na swala aliyenona vizuri ni nani kati ya hawa wanyama ana kilo nyingi? Asante na jibu lake linaonekana hata kabla ya kwenda mbali. Dr Slaa yuko mbali sana!
hzo ndoto zako mkuu
pigeni kura kule acheni kulalama kama mbweha kabanwa na mtego polini,dr.ni zaidi
Na wewe je si ni mpiga debe tu? Huna lolote!
Ni kweli mkuu maana hata wewe hizo ni ndoto zako. Wote tunaota au siyo?
Tunataka mtu atakayetamka kutoka moyono kwamba anaichukia rushwa na tukimwangalia tukubali kweli anaichukia rushwa. Naye ni mmoja . Dr. Slaa wa ukweli.
Naona umejiunga kipindi cha chrstmas na bahati mbaya sana umeanza na uongomazingira magumu kudidimiza akina ZZK??? MANGULA kaongoza akili za watu 6,000,000 vp huyo babu yenu??
huyu mzee walimtelekeza -- sasa chama kinayumba wamemuomba arudi, mzee ilifikia hatua hadi uwenyekiti wa mkoa wa ccm akafanyiwa fitna akakosa -- chezea ccm wewe!!
Sasa sijui fupa lililomshida makamba ataliweza? maana ccm ya sasa bila fitna hukai salama
Naona umejiunga kipindi cha chrstmas na bahati mbaya sana umeanza na uongo
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu