Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

Philip Mangula vs Dr. Willibrod Slaa

Nani mkali kati ya MANGULA na DR. SLAA?

  • MANGULA

    Votes: 7 5.3%
  • DR. SLAA

    Votes: 126 94.7%

  • Total voters
    133
  • Poll closed .
Status
Not open for further replies.
uwezo wa mangula kiuongozi,ukomavu wa kisiasa, uvumilivu, busara na maadili ni mkubwa kuliko slaa.
 
uwezo wa mangula kiuongozi,ukomavu wa kisiasa, uvumilivu, busara na maadili ni mkubwa kuliko slaa.

unajua hao uongozi wanaupima kwa makelele na uongo ndo mana utasikia zito anamzidi umàarufu JK
 
japo post si yangu naomba nikwambie tuache ushabiki wa kiroho huwezi kumlinganisha mangula na slaa kwanza mangula aliongoza CCM kama taasisi na wanachama wengi huwez kumlinganisha na slaa anaeongoza kampuni jadili kisomi mkuu

Na hapo ndo umejadili kisomi kama mfano eeh
 
Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo zaidi wa kiuongozi?? piga kura yako
washabiki wengi wa ccm na viongozi wake sio watu wa siasa za mtandaoni kama walivyo wafuasi wa chadema.wale wa ccm wao hupenda kukaa kimya zaidi na kujitokeza siku ya kura hivyo kuiwezesha ccm kushinda kwelikweli.kwa hiyo usitegemee kwamba wapenzi wa mangula walio wengi watapiga kura hapa.
 
hata wakipiga kwa ushabiki dhamiri zao zinawasuta
 
ndg SLAA hana ubavu wa kulingana na jembe mangula hata siku moja labda kwa sauti kubwaàliyonayo
 
lengo la mleta uzi ni kumchafua Dr, lakini ukweli anaujua, nenda kamuulize nape, au nenda Cnn
 
Wadau kama tuwajuavyo majembe hayo mawili wote wamepata kuwa na hadhi ya ukatibu mkuu wa chama ingawaje mpaka sasa dr. slaa bado ni katibu lakini katika utendaji wao hawa watu kila mtu ana mafanikio yake hasa historia zao za kutukuka sasa je kati ya hawa unafikiri ni yupi ana mvuto na uwezo zaidi wa kiuongozi?? piga kura yako

Mnajidanya,slaa size yake ndani ya ccm ni Nape ndie wanaetoshana nguvu,kumlinganisha mzee mangula na slaa ni sawasawa na kujaribu kulinganisha kifo na usingizi!
 
katibu mkuu wa chama na makam mwenyekiti wa chama ni nafasi kubwa kiutendaji na kiuongozi kuliko huo ubunge wako

napata shida sana kuelewa uwezo wa kiakili wa wapambe wa CDM
 
Mnajidanya,slaa size yake ndani ya ccm ni Nape ndie wanaetoshana nguvu,kumlinganisha mzee mangula na slaa ni sawasawa na kujaribu kulinganisha kifo na usingizi!

hahaha chezea 'kamanda wa FRELIMO
 
lengo la mleta uzi ni kumchafua Dr, lakini ukweli anaujua, nenda kamuulize nape, au nenda Cnn

mleta uzi kakimbia mkuu ila wadau tupo hv maisha binafsi ya slaa kama kiongozi wako yanakufundisha nini?
 
Dr Slaa kaijenga CDM na kuifanya kuwa chama kinachoweza kushika dola, wkt Mangula kakuta CCM imejengwa na Nyerere, na kuiongoza ikisaidiwa na nguvu za dola.

Wkt Dr Slaa anasimamia nidhamu na maadili kwenye chama kwa kutolea uozo na viongozi wabovu, Mangula alipuuza ripoti ya kamati ya maadili ya cham ya Paul Sozigwa, hivyo kuruhusu wana mtandao kushika nchi, na leo tuko hapa.

Wkt Mangula alijivunia wanachama 5ml ambao wengi wao aliwarithi toka enzi ya chama kimoja na wengi wao si hai, na ni jeshi la watu wenye uelewa mdogo na wasiojitambua, leo Dr anaingiza chamani wanachama wapya, wasomi, wenye uelewa na vijana wenye nguvu.
Kwa hayo, nampa kura Dr Slaa.
 
Huwezi ukafananisha Fisadi aliyesimamia wizi wa Pesa za EPA na Mchumia tumbo Mangula na Mzalendo wa kweli Dr. Slaa. Hivyo ondoa kabisa ndoto zako za mchana kweupe.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom