Alright...ntakuletea na wewe mshikaki sasa!
mbona mnaogopa ban kama wahalifu na polisi?
Hayupo angekua hapa ningemsukumia yeye....Haya nenda msindikizane na bi mdogo
mbona mnaogopa ban kama wahalifu na polisi?
Kwa takribani saa zima na ushee JF haikuwa hewani kabisa na meseji niliyokuwa napata iko consistent na ile unayopata kama umekula server ban.
Sasa nikadhani ndo nshalimwa hilo ban kumbe wapi! Naona kulikuwa na hitilafu kubwa.
Heheheee hebu niambie ina taste aje??Wewe ban unaijua unaisikia?
Heheheee hebu niambie ina taste aje??
Wewe ushawahi kulimwa ban? Ulifanyaga nini?Unadhani kuna raha??
Shida kweli hasa ambapo hata kosa halieleweki.
Si unajua kufungwa maisha kwa kunyofoa unyoya kwenye kuku wa jirani ili ukunie sikio, inauma sana. Bora uwe umemuiba kuku, ukamla ukapata na unyoya.
Mtukane Kongosho utajua
Aaaah bana mi staki...lol!Mtukane Kongosho utajua
Wewe ushawahi kulimwa ban? Ulifanyaga nini?
si bora hata utukane, wakati mwingine hata swali ni kosa, mie nikashangaa tu.
Konie,
Its 10pm Fri, Apr 13, 2012
Leo Canta kanipatia visa inayoexpire kesho asubuhi. Kwani wewe ni under 18? Tabata mbali bana, tukutane hapo buguruni sheliLeo Canta kakufungulia?
Hebu njoo hapa Tabata West tuburudike.
Usisahau helmet, nitakufanyia konkasheni.
Hehehee uliuliza tu bila ruhusa ya spika na wewe?Niliuliza swali la nyongeza kabla majibu ya swali la msingi hayajatolewa.
Kule si hasa, nikashtukia niko gerezani bila hata kushtakiwa. Inauma karibia na uchungu wa leba.
Leo Canta kanipatia visa inayoexpire kesho asubuhi. Kwani wewe ni under 18? Tabata mbali bana, tukutane hapo buguruni sheli