Pheeeeewwwww

Unadhani kuna raha??
Shida kweli hasa ambapo hata kosa halieleweki.

Si unajua kufungwa maisha kwa kunyofoa unyoya kwenye kuku wa jirani ili ukunie sikio, inauma sana. Bora uwe umemuiba kuku, ukamla ukapata na unyoya.

mbona mnaogopa ban kama wahalifu na polisi?
 
Kwa takribani saa zima na ushee JF haikuwa hewani kabisa na meseji niliyokuwa napata iko consistent na ile unayopata kama umekula server ban.

Sasa nikadhani ndo nshalimwa hilo ban kumbe wapi! Naona kulikuwa na hitilafu kubwa.

umeona enheee...
 
Unadhani kuna raha??
Shida kweli hasa ambapo hata kosa halieleweki.

Si unajua kufungwa maisha kwa kunyofoa unyoya kwenye kuku wa jirani ili ukunie sikio, inauma sana. Bora uwe umemuiba kuku, ukamla ukapata na unyoya.
Wewe ushawahi kulimwa ban? Ulifanyaga nini?
 
Niliuliza swali la nyongeza kabla majibu ya swali la msingi hayajatolewa.

Kule si hasa, nikashtukia niko gerezani bila hata kushtakiwa. Inauma karibia na uchungu wa leba.

Wewe ushawahi kulimwa ban? Ulifanyaga nini?
 
Leo Canta kakufungulia?
Hebu njoo hapa Tabata West tuburudike.
Usisahau helmet, nitakufanyia konkasheni.
Leo Canta kanipatia visa inayoexpire kesho asubuhi. Kwani wewe ni under 18? Tabata mbali bana, tukutane hapo buguruni sheli
 
Niliuliza swali la nyongeza kabla majibu ya swali la msingi hayajatolewa.

Kule si hasa, nikashtukia niko gerezani bila hata kushtakiwa. Inauma karibia na uchungu wa leba.
Hehehee uliuliza tu bila ruhusa ya spika na wewe?
lol...ukijiweka mbele kaa fundo la msuli unaliwa kichwa....
Sasa unaumia nini Kongosho lakini, hebu sema....
 
Buguruni sheli wakati mie sina gari, unataka uninyweshe petrol?

Si bora useme buguruni kwa mama ntilie pale kwenye kiosk cha soda, ntakuona wa maana.

Leo Canta kanipatia visa inayoexpire kesho asubuhi. Kwani wewe ni under 18? Tabata mbali bana, tukutane hapo buguruni sheli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom