PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

Unamtandika nani wewe? utakufa kwa pressure mkuu..

Umesomea kanuni za kuongoza kanisa, huko ndio unaweza kutandika wakatoliki wenzako kama ambavyo umewapumbuza wengi wanakufuata kama wanakondoo..

Lakini kwa wenye akili elimu yako ni mwisho wa kuta za kanisa..not beyond that..

Unavyoonekana wewe hata form 2 utakuwa hujafika, bokoharam mkubwa wewe! Uliposoma madrasa ukadhani ndo umepata elimu! Mwone kwanza, unatia kinyaa kwa majibu yako yenye mwelekeo wa ki al shabab!
 
Nawapongeza ritz na wenzake kuona umuhimu zaidi kujadili phd ya dr. Slaa kuliko katiba mpya, tatizo sugu la umeme, mgomo wa madaktari, kupanda kwa gharama ya maisha na mikataba inayoifilisi nchi. Kwao mjadala wa phd una tija zaidi. Uhuru wa mawazo!!
Hivi ni kweli kwamba...small minds discuss people, ......great minds discuss ideas?
 
Unavyoonekana wewe hata form 2 utakuwa hujafika, bokoharam mkubwa wewe! Uliposoma madrasa ukadhani ndo umepata elimu! Mwone kwanza, unatia kinyaa kwa majibu yako yenye mwelekeo wa ki al shabab!
Ha ha haaa! nimecheka nusu nife!....mkuu,kwanza wewe ni mgeni hapa jamvini?
Huyo anaitwa Topical wa JF na yuko kitambo sana humu ndani....so yakupasa umzowee tu kama tulivyomzowea sisi wengine.
Nafikiri umenielewa na siku nyingine utapunguza hasira. Pole sana mkuu hiyo ndiyo JF
 
Hahahaaaaaaa unadhani ana PHD nyonge kama ya nanihiiiiii yenu? Kwa taarifa yako kapiga yenyewe yote kuanzia na BA, MA na PHD nenda hapa http://www.google.co.ke/url?sa=t&rc...teXZDA&usg=AFQjCNHdi3p8QTJvUh0UomfCt6m5gGHsgg ila kumbuka ile sehemu ya PHD inaonesha range ya kuanzaia 1977- 1981 ni kama miaka mitano hivi so alisoma Masters miaka miwili na PHD miaka mitatu, ndo utaratibu wa Pontifical universities mkuu. Kama hutaelewa basi ni inbox nitakushushia kila kitu!!!!

Hajabumbabumba kama bosi wako!!!!
 
Nawapongeza ritz na wenzake kuona umuhimu zaidi kujadili phd ya dr. Slaa kuliko katiba mpya, tatizo sugu la umeme, mgomo wa madaktari, kupanda kwa gharama ya maisha na mikataba inayoifilisi nchi. Kwao mjadala wa phd una tija zaidi. Uhuru wa mawazo!!
Hivi ni kweli kwamba...small minds discuss people, ......great minds discuss ideas?

That which is written by god is what is...
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

huwe = uwe.

Wewe in mha nini?
 
kim kardash,
mbona tumewazoea sana tu hawa chadema-kata..

Cha kuchekesha zaidi kuna tabia imejengeka humu jf eti ukijibu hoja za chadema wanakushtaki kwa mods kuwa unachafua hali ya hewa.

Halafu kuwa wazi mkuu jf ni jukwaa huru huyo kiongozi unaemsema ni mbowe, kiwango chake cha elimu ni kidogo sana ni type ya kina maji marefu.
hata ka mnyika pia hakana hiyo kitu aise
 
Ritz...ya Mbowe tuyaache! Hapa tumwongelee tu padre mstaafu.
Mbowe tutamfungulia thread yake! Yule hamna mtu anayeweza kumtetea cuz sijui kama hata anaifahamu milango ya madarasa ikoje!

Nenda HULL UNIVERISTY pale Uingereza...au muulize Balile na Ridhwan walikuwa chuo kimoja na MBOWE
 
Kama tungetumia mfumo wa US slaa angekuwa anaitwa Dr akiwa kanisani pekee,
 
Nenda( HULL UNIVERISTY) pale Uingereza...au muulize Balile na Ridhwan walikuwa chuo kimoja na MBOWE

HULL UNIVERISTY sijui ni nini Ndio Mbowe kasoma apo?

Navyojua mie Uingereza kuna chuo kikuu kinaitwa University of Hull City. Kwa wanasiasa wa Tanzania ambaye kasoma pale ni Ismail Jussa wa CUF.
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

Vizuri umeoyesha upeo wako ulipokomea. Nahitaji kukueliisha kidogo.
Mfumo wa degree yake si kama unaotolewa chuo kikuu cha Dar, ile ni ya juu sana. Anahitaji kufungua sana kurasa hadi apate licensium ambayo ina hadhi ya Masters kwa vile ameshahitimu masomo ya awali alipokuwa chuo cha Kibosho na Kipalapala katika masomo hayo ambayo yanakuwa na hadhi ya Bachela.

Ukiangalia masomo yao kuna masharti kwanza ufaulu katika elimu ya kawaida ya kidato cha sita kwa kiwango cha dalaja la 1 na la 2. Bila hiyo huwezi kuendelea na masomo ya seminari katika masomo ya juu. hapo lazima bongo lichemke ndio maana hakuna mapadre vilaza kielimu.

Kiwango cha elimu ya marekani hata kama wana Bachela katika masomo hayo wanapojiunga na chuo hicho cha Urbanian huwa wanachujwa kwa kufanya mtihani wa entering test kupima uwezo wao kutokana na kueleweka kiwango cha elimu ya marekani mara nyingi huwa chini kidogo.

Wakufunzi wa masomo hayo huko Rome si mapadre na maaskofu, ila na watu wa kawaida maprofesa waliobobea katika nyanja za elimu. Kwa mfano masomo yalivyo magumu kuna baadhi ya kozi huchukua miaka zaidi ya 8 ili kupata PHD na wengine kwa miaka hiyo hawaambulii kitu hasa katika masomo yahusuyo historia ya maandiko matakatifu na wengine wanaishia kuchanganyikiwa akili. Si mchezo, pale uende umekamilika na kichwa kinafanya kazi sawasawa.

Na ni wachache sana very bright ndio wanaochaguliwa kujiunga na chuo hicho kikuu cha Kikatoliki duniani, na kwa masomo yahusuyo Liturugia ni chuo kikuu cha St. Anselmo huko huko Rome kinachoendeshwa na Watawa Wabenediktini wanaoaminika wabobeaji katika masuala ya mienendo ya liturugia na waenezi wa mapokeo ya liturujia.
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?
St. Urban University, Rome PhD (JCD) Law 1977-1981 [Doctor of Canon Law (Latin: Juris Canonici Doctor or JCD)]

Wajua kwamba maunzo yao huanzia na elimu ya kawaida katika masuala ya sheria na ndipo waingie mambo yanayowahusu? Umeona hawa watu walivyo makini na kuendesha shughuli pamoja na serikali bila migongano ? Hujifunzi kwa nini yanatokea kama kiwango cha cha elimu hakiko katika kiwango cha sheria kimataifa?

Hakuna kiongozi wa kikatolikia kuanzia padre wa kawaida lazima achukua kozi ya sheria, vinginevyo hawezi kufanya kazi na watu mbalimbali wa aina mbalimbali. Umenipata?
 
HULL UNIVERISTY sijui ni nini Ndio Mbowe kasoma apo?

Navyojua mie Uingereza kuna chuo kikuu kinaitwa University of Hull City. Kwa wanasiasa wa Tanzania ambaye kasoma pale ni Ismail Jussa wa CUF.

Pekua data zaidi,nenda chimbo utapata kujua kuwa mbowe amepita pale!kama umeanza juz kumfatilia itakuwia vigumu kuyajua haya!!
 
Inshort mzee slaa elimu yake ni kuongoza kanisa. Nchi yenye waumini wa dini tofauti hawezi lazima atakuwa biased.

Benjami William Mkapa ni Mwandishi wa Habari by Professional vipi alikuwa biased kwenye nchi yenye Professionals tofauti? Jakaya Mrisho Kikwete ni Mchumi by Professional vipi nae ni bias kwenye nchi yetu yenu Professionals tofauti?
 
Back
Top Bottom