PhD. ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, ni sahihi?

Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

kwa kutoiona katika CV yake haina maana haipo na haithibitishi kuwa hana ungekuwa wa maana usingeanza kulaumu na kuulisa maswali yasiyo sahii ungeuliza je anayo na kama anayo ni ya nini MA ya nini na BA ya nini? hata hivyo si kila cv inakuwa na kila utakachokuona cvs huwa zinatayarishwa kwa sababu na kwa nature ya matumizi mwenye nayo atakapo itumia.
 
Wanabodi.

Ili kupata PhD (Doctor of Philosophy) lazima huwe na BA (Bachelor of Arts) na MA (Master of Arts).

Nimepitia CV ya Katibu Mkuu wa Chadema Wilbroad Slaa, nimeona kapata PhD yake mwaka 1977 St. Urban University Rome Italy.

Kwenye CV yake hukuna sehemu yoyote kuwa ana BA ama MA.

Kuna njia nyingine ya kupata PhD bila kuwa na MA na BA?

Ni zile za kuunga unga na gundi, pasi mtu kukufafanulia njia yenyewe huwezi ambulia kitu.

Kifupi tunasema ni Ph.D ya kikatoliki naye amebobea katika sharia za kanisa katoliki (Canon Law)
 
Back
Top Bottom