Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Taifa letu lina matatizo mengi sana, PHD hazitusaidie tunataka maendeleo.
Over
Over
Yaani kweli akili tunatofautianaHongera sana learned brother Deogratias Klisandu for a reasoned evaluation and analysis of a PhD. Wanaokupuuza na 0kukuita kichaa, wao ndo vichaa, coz hawajafanya uchambuzi wa aina yoyote humu JF. Wao ni kupinga kila kitu bila hoja. Hongera mseminari mwenzangu Deogratias. It is true beyound any shadow of doubt that JPM has a true and genuine PhD, which he was awarded at UDSM. It is not a honourally PhD, but class and by Thesis PhD. Wanaohoji PhD hiyo wao hata cerificate hawana. His PhD is clearly proved by his very professional leadership based on facts finding. Hongera sana JPM kwa kazi nzuri. Kila mtu huku vijijini anakusifia for a well done good job. God bless you all the time.
Hizo PhD alikua anasoma kwa kiswahili au kizungu? Kama ki inglishi mbona lugha hajui??Mh. Rais amesoma PhD yake kwa jasho kabisa tena akijitahidi mno. Sasa wale ambao wanaishuku PhD yake ninataka wao watuonyeshe za kwao. Kumbukeni UDSM elimu yake si mchezo na Phd ilikuwa inachukua muda sana tofauti hata na vyuo vya nje ambavyo wengi ndiko walikopatia PhD fake. Acha Rais wetu aendelee kutumbua tu, hata angekuwa na elimu ya lowe Second mimi siangalii bali ninaangalia utendaji wake wa kazi. Kwani PhD itatufikisha wapi kama tutaendelea kulea mafisadi na wezi? Yaani acha abane ili tuwe na adabu na heshima mtaani iendelee.
Good chagua watu wa kubishana nao. Usije ukawa unabishana na Std 7. You need to make arguments with academicians when it comes to academic issues. Kuna jinga humu linasema kwani hakuna wanaoweza kuwa Lecturers UDSM kama JPM amewateua wote! Mtu kama huyo hajui kuwa Lecturer University wanatumia vigezo vipi! Usibishane naye!Mwenye publication yoyote ya Magufuli atuletee hapa Wenye PhD huwa tunazungumza kwa Publication.
Mkuu usitumie akili nyingi saaana badilisha kichwa cha habari ya hilo bandiko kisomeke AINA TANO ZA PHD DUNIANI....utaeleweka kuliko ukivyotiririka .......yani ni pointless throughout ....PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.
Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.
1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.
2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.
3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.
4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.
5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.
NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.
Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.
deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Jamaa anatafuta pa kutokea! Hakuna Jipya hapo. The issue on table is how he can defend himself from the strong accusations of intellectual plagiarism!Mkuu usitumie akili nyingi saaana badilisha kichwa cha habari ya hilo bandiko kisomeke AINA TANO ZA PHD DUNIANI....utaeleweka kuliko ukivyotiririka .......yani ni pointless throughout ....
Ni kweli amesoma na anayo.tatizo haimsaidii.hana tofauti na asiye na Ph D.hekima umtenganisha mwenye akili na asiyekuwa na akili.JPM amesoma PhD UDSM, inaeleweka. Binafsi sioni uhalali wa hoja nyepesi za kuitilia shaka. He worked for it, he achieved it. Hakuna siasa hapo. Wanaohoji hiyo PhD yake wana yako. Na wawezi kubadilika maana hila huleta upofu.
Ungekuwa na PhD bila shaka unge search kwenye Google Scholar na kupata jibu.Mwenye publication yoyote ya Magufuli atuletee hapa Wenye PhD huwa tunazungumza kwa Publication.