PhD ya Dkt. Rais Magufuli iko sahihi, uthibitisho huu hapa

Monograph si ni publication braza!! Ama wewe neno 'publication' unalielewa vipi? Hivyo kama unayo monograph yake msaidie chifu aliyeomba.
Mkuu kumbe tunatofautiana uelewa. Publication nlivyokuelewa ni andiko ambalo limebandikwa kwenye journal/ jarida linalokubalika kwa ajili ya matumizi ya uma. Monograph yaweza kuwa hata library halijafika mkuu. Na kama ni hilo unataka nenda UDSm au muombe jpm
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Wanaotilia mashaka usomi wa JPM hawana hata degree moja, na ndio wengi hapa JF kama, kiongozi wao Mbowe ambaye alifeli UK na kurejea bongo kabaki kubangaiza bangiza tu na mbuzi aliyewauzia Chadema kwenye gunia aka Jambazi Sugu. Wanao bisha waweke shahada zao hapa hadharani ku-prove the point! Hawawezi I can bet you a nickel, watakuja na hadithi ndefu tu , we chubiri uone. Wengi wao wako marekani.
 
Hujui ni nini unachokizungumzia. Na kama HUJUI usifanye UNAJUA.
Maelezo yako does not hold waters!

KWA UFUPI ni kuwa PhD ya Magufuli ni AUTHENTIC/Ni ya JASHO lake.
Hata kama wakati mwingine TUNAMKOSOA na KUMSIFIA in equal measure kama mimi .

Lakini katika hili la PhD yake Yeye yuko sawa kabisa. HAIHITAJI maelezo finyu!
Katika lugha ya Chato kijijini nasikia wanatumia neno "Getegete"/ meaning Perfect/ KAMILI kabisa.
 
Wanaotilia mashaka usomi wa JPM hawana hata degree moja, na ndio wengi hapa JF kama, kiongozi wao Mbowe ambaye alifeli UK na kurejea bongo kabaki kubangaiza bangiza tu na mbuzi aliyewauzia Chadema kwenye gunia aka Jambazi Sugu. Wanao bisha waweke shahada zao hapa hadharani ku-prove the point! Hawawezi I can bet you a nickel, watakuja na hadithi ndefu tu , we chubiri uone. Wengi wao wako marekani.
Mkuu nakubaliana na wewe japo kwa suala LA mbowe mi simo. Ndio maana watu wanahoji wasivyovijua kuhusu PhD. Kwa kuwa lengo ni kumchafua hata uwaambie hawatakuelewa
 
PhD ya Rais Dkt.Magufuli IKO SAHIHI.

Kuna aina 5 za PhD duniani zote ni za kitaaluma. PhD nayozungumza hapa ni ya ki Falsafa. Zifuatazo ni Sifa ambazo MTU huweza kutunukiwa PH D.

1. PhD ya Darasani: Unasoma degree ya kwanza(Bachelor), baadae unasoma degree ya pili(masters) baadae unasoma degree ya tatu katika mfumo WA utafiti(PhD). Basi unakuwa na sifa ya kuwa Daktari WA falsafa.

2. PhD ya Tukio: umesoma degree ya kwanza na ya pili, lakini ukaja kufanya jambo la kiutafiti bila kujua ambalo likasaidia jamii. Hapa vyuo hutunuku Masters na PhD kwa wakati mmoja au kama una masters unatunukiwa PhD moja kwa moja na chuo kinachoendana na jambo ulilofanya, mfano: kusuluhisha migogoro migumu na ukafanikiwa, kutoa mwongozo kwa jambo Fulani na likafanikiwa, umekuwa MTU mashuhuri kwa mambo ya kujenga jamii na jamii ikafuata na ikafanikiwa, n.k hapa unatunukiwa PhD bila pingamizi. Rejea PhD ya Dkt. Jakaya Kikwete na mgogoro WA Kenya 2007 baada ya kuwaweka sawa Wapinzani na Watawala.

3. PhD ya Utafiti: Umekuwa na degree moja au mbili na umekuwa ukifanya Dissertation mbalimbali ambazo zimekuwa zinasaidia jamii, hapa unatunukiwa PhD kwa kuzingatia juhudi binafsi za kujitolea.

4. PhD ya uandishi WA Vitabu: hapa unaweza usiwe hata na degree yoyote ile ukawa na cheti au diploma au degree(if possible), kutokana na MTU kuandika vitabu Mara kwa Mara vya kusaidia maswala mbalimbali ya kijamii na jamii ikanufaika na hivyo vitabu, basi mhusika kwa kuzingatia umhimu WA jambo hutunukiwa vyote kwa wakati mmoja yaani degree ya kwanza, ya pili na ya tatu PhD.

5. Tuzo ya Heshima: Hapa inategemea umefanya jambo gani katika jamii yako kitaifa au kimataifa ambalo jambo hill limeleta Neema kwa Taifa lako au Kimataifa. Hapa unaweza kutunukiwa tuzo ya Sir au PhD, unamkumbuka Sir George Kahama na tuzo ya mwingereza.

NB: Na sikila MTU hutunukiwa maana inategemeana na jambo lenyewe. Mimi Deogratius Kisandu, na washauri vijana wenzangu kabla huja hoji Elimu ya MTU, cha kwanza jifunze mfumo WA utoaji taaluma na Tuzo Duniani. Ndipo sasa uhoji. Kati ya hizo moja wapo Mheshimiwa wetu yupo.

Hongera Rais Dkt. John Magufuli kwa PhD ya Falsafa. Na kheri ya Mwaka Mpya.

deogratius Nalimi Kisandu
2 January 2017.
Kahama-Tanzania.
Mkuu PhD ni kipimo cha juu cha usomi, katika hali yoyote ile.
Hatuna wasi wasi na usomi wa Dr Magufuli ambaye vile vile ana muelekeo wa kisayansi.

Hizo aina nyingine za Honorary PhD ni za kwako na wapenda sifa.
Kimsingi mtu hastahili kuitwa Dr kwa kupiga domo majukwaani.
 
Sijawahi kuwa mwanafunzi wa PhD ila Mungu akijalia nitafika inshallah.

Sasa wewe jamaa umekuja na hoja gani hapa mbona kila siku unadhihirisha jinsi ulivyo kilaza.

Ninapata wasiwasi sana kama kweli huna shida ya akili.

Nilitegemea utuletee uchambuzi na vithibitisho heavy.

Anyway watu wote nadhani wanajua kwamba alipublish kitu ila kuna kitu kimoja walichofeli kutuambia

Kitu hicho ni kwamba hakuwa full time na alitunukiwa kama full time candidate

Yaani mwanafunzi aliyeingua darasani daily anasoma miaka mitatu na yule anayesoma huku anafanya kazi inamchukua miaka si chini ya mitano.

Nilitegemea umejibu hizo hoja
 
Sasa PhD ya unayemtetea ni ya style ipi?
 
Hivi ni nani wa kulaumiwa aliyepewa hiyo phd (MAGU) au udsm waliotoa hiyo phd. Mi nadhani hizo hoja kwamba phd ya mkulu Magu ina walakini (kama kuna ukweli uliothibitishwa) basi waliotoa ndio walaumiwe kwa namna yoyote ile uwezekanayo kwani MAGU hakuwashikia mtutu wa bunduki ili wampatie hiyo phd.
 
Kumlaumu tu aliyepewa hiyo phd halafu ukaacha aliyetoa hiyo phd ni sawa na kusema kwamba aliyepokea rushwa ndie ana makosa bali aliyetoa rushwa hana kosa/hatia
 
Back
Top Bottom